Kigwangalla: Mange Kimambi uongozi ni kiti cha moto, tunahitaji support sio matusi na lawama

26c0f77ab4e8332bbb4decdd5c946a78.jpg
03a64fa0aa87d22c552609462df6ce1c.jpg
94d41113d106ffa8fda512ee381e12a2.jpg
002eb6af9012839e963407aace82add0.jpg
9e92ea87301c9522dbe882da109e5361.jpg
f381d2f20de4c639616369ed12fcc490.jpg
c61ac3c38be98f9a0defaf354c5e2fb4.jpg
 
kwa waziri kwenda kwenye page ya huyo chizi anaetukana serikali na watu binafsi kila siku ni kujiaibisha sana.....mbona kuna watu wa heshima wanaotoa hoja zao vizuri hawajibu anaenda kumjibu Mange....mimi hata kuitembelea tu page yake siwezi ni wapumbavu pekee wanaoweza kuingia page ya huyo mwehu
Wewe unamwita mwenzio chizi, ila ujue wapo watu na wewe wanakuita chizi. Nilivyoona mimi KIGWA amejaribu kwa kiasi chake kumpa majibu mange juu ya shutuma alizozitoa dhidi ya wizara yake na kwa kufanya hivyo ameweza kumfanya Mange aongee kwa lugha ya kiistaarabu kabisa. kwa hiyo kumlaumu Kigwangala kwa alichofanya ni ile tu tunasema kila mtu anamtazamo wake juu ya jambo fulani na ndio maana tunatofautiana katika mambo mbalimbali kama binadamu.
 
kitendo cha waziri kwenda kujibizana na huyo mpuuzi ni kosa kubwa sana ni sawa na UHAINI....Kigwangala tutamuwajibisha
 
kwa waziri kwenda kwenye page ya huyo chizi anaetukana serikali na watu binafsi kila siku ni kujiaibisha sana.....mbona kuna watu wa heshima wanaotoa hoja zao vizuri hawajibu anaenda kumjibu Mange....mimi hata kuitembelea tu page yake siwezi ni wapumbavu pekee wanaoweza kuingia page ya huyo mwehu
Vipi kuhusu wananchi walivyokuwa wakikusanyika kuwasikiliza wagombea wako wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu 2015 huku hao wagombea wakitoa matusi na kashfa mbalimbali kwa viongozi wa upinzani? ulitafakari hilo jambo? na je uliwaambiaje hao wananchi?
 
Hao vilaza na wapenda Udaku ndio wanaopiga kura, wasipoona utetezi mzuri toka serikalini watamuamini zaidi Mange, halafu kumbuka.......halo vilaza ndio wanaolala chini huko mahospitalini na Mange kaamua kuwasemea.
wapiga kura hawako instagram wewe acha kujidanganya.ndio maana tunasema ccm itatawala milele kwa akili kama zako
 
kwa waziri kwenda kwenye page ya huyo chizi anaetukana serikali na watu binafsi kila siku ni kujiaibisha sana.....mbona kuna watu wa heshima wanaotoa hoja zao vizuri hawajibu anaenda kumjibu Mange....mimi hata kuitembelea tu page yake siwezi ni wapumbavu pekee wanaoweza kuingia page ya huyo mwehu
Hata mange in other hand ni mtu waheshima sana anachokifanya nikikubwa kuliko hayo matusi na ndo maana anaongezeka kila siku
 
Kigwa ameogopa kuwataja maana na boss mtoto nae yumo sasa nani anaeenda nae? Ndio hapo Kigwa pyuuuu breakk.........kimyaaaa
 
kwa waziri kwenda kwenye page ya huyo chizi anaetukana serikali na watu binafsi kila siku ni kujiaibisha sana.....mbona kuna watu wa heshima wanaotoa hoja zao vizuri hawajibu anaenda kumjibu Mange....mimi hata kuitembelea tu page yake siwezi ni wapumbavu pekee wanaoweza kuingia page ya huyo mwehu
Mimi nimeangalia hoja za hao wote.Wote wametoa maelezo vizuri.Hongera Kigwangala,honger Mange kwa point alizotoa tena kwa busara kubwa.
 
Back
Top Bottom