Kigogo wa madawa ya kulevya wa kike, akamatwa na madawa ya kulevya

wanaweza kuishia kuomba mahakama imuweke chini ya ulinzi tu lakini awe huru kama vile massawe enzi zile.
 
Sasa amekakatwa na madawa? Mbona hawasemi kg ngapi? Au wanaokamatwa ndio wakimtajaa ndio basi ishakua anazo ?
 
hawakumkamata na sembe (kidhibiti) wamemkamata kama mtuhumiwa,
walitakiwa waendelee kucheza naye kufatilia nyendo zake,kusikiliza simu zake pengine kuna vigogo zaidi yake,network nzima ingewezekana kuishika kama huyo dada ni mtu wa kati.
kama hawana kidhibiti wakuu tusubiieni uchunguzi ukamilike wa kumtia hatiani ,maana anaweza pia akagundulika hana hatia

Lengo la kumkamata sio kutokomeza hii biashara! Bali ni kumkomesha huyu bi dada kuna mahali kakiuka masharti ya wakubwa wake! Huoni hii danganya toto! Eti kakamatwa akitokea wap sijui ina maana huko kote hawakuona ana mzigo! Ths time kiukweli hakuwa na mzigo ila wamembambikiza kisasi hiki! Hii biashara msijaribu kuingia ukishatia guu ukajifanya unastaff ni mwendo wa kustafia wajelajela
 
Namfahumu huyu dada ni jirani yetu kumbe usilolijua nisawa na usiku wa giza lkn kama anahusishwa ni mapema mno kusema wasubiri uchunguzi ukamilike ndo watoe hewani.
 
hakun akesi hapo .yaani mnakamata mtu kwa kuwa anatajwa tajwa na waliokamatwa?Nzowa pimbi nini?
 
hakun akesi hapo .yaani mnakamata mtu kwa kuwa anatajwa tajwa na waliokamatwa?Nzowa pimbi nini?

Yani ndio mana naashangaa vipi unamkamata mtu bila kithibitii? Au wanataka kumpa chat na yeye? Mbona hata huyo mdada hajaelekea Kama anabiashara hiyo? Hata masham sham Hana mbona Ashura macheni Ana onekana japo kwambali...
 
hawakumkamata na sembe (kidhibiti) wamemkamata kama mtuhumiwa,
walitakiwa waendelee kucheza naye kufatilia nyendo zake,kusikiliza simu zake pengine kuna vigogo zaidi yake,network nzima ingewezekana kuishika kama huyo dada ni mtu wa kati.
kama hawana kidhibiti wakuu tusubiieni uchunguzi ukamilike wa kumtia hatiani ,maana anaweza pia akagundulika hana hatia

Kwa hiyo unadhani vigogo wa madawa hawafahamiki? Mkuu wa nchi alishasema anayo majina yote na akaahidi kuyataja ila nadhani bado yupo busy na masuala nyeti zaidi Kwa nn huyo Nzowa asiende kuchukua hayo majina Kwa Mkuu ili awataje na kuwachukulia hatua? Anataka kuchukulia point 5 Kwa hawa dagaa? Usanii mtupu!
 
attachment.php
 
Kwa hiyo unadhani vigogo wa madawa hawafahamiki? Mkuu wa nchi alishasema anayo majina yote na akaahidi kuyataja ila nadhani bado yupo busy na masuala nyeti zaidi Kwa nn huyo Nzowa asiende kuchukua hayo majiina Kwa Mkuu ili awataje na kuwachukulia hatua? Anataka kuchukulia point 5 Kwa hawa dagaa? Usanii mtupu!

tena hiyo list mbona ishatapaka kwenye mitandao....katika list hiyo washakamarwa watu wawili ambao walitajwa...wangewakamata hao waliyobakia na kuwaweka chini ya uangalizi mbona madawa yangepungua kuingia nchini humu...
 
Propaganda hizo! Police nao kama wanasiasa, hakuna kesi hapo ni zuga tu!
 
Back
Top Bottom