KIGODA:Tofauti za Takwimu kwenye vitabu vya fedha ni SAHIHI

Masatu,

Hivi Mkullo anaweza kuondoka kabla hajalipia madeni yake binafsi? Inaonekana wanampa muda azipate za kutosha kulipia biashara zake zilizokuwa zinayumba kabla hajapewa ulaji rasmi.
Hivi mmeshasahau kuwa JK alimteua Katibu wa wizara ambaye kazi yake ilikuwa kushughulikia Bajeti? Nadhani huyo angeondoka kwanza na hiyo nafasi ifutwe kwa maana imeleta matatizo zaidi kuliko mafanikio. Kama itawezekana arudishe mshahara wote aliopewa yaani mpaka mwenyekiti wa kamati ya bunge ameokoa jahazi? Siku chache zilizopita nilitaka kuilaumu kamati ya bunge iliyopitisha hiyo bajeti ila nikaona nisubir labda kuna majibu ya tatizo hilo.
 
Back
Top Bottom