Kigamboni: Mstahiki Meya wa jiji la Dar Isaya Mwita na wanachama wengine, wakamatwa na Polisi

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kina wafuasi wengi nchini kuliko kuliko CCM kwa hiyo na hii awamu ya tano iko kibabe.

Tunataka rais Mtanzania mwenye tabia za kitanzania huyu na ubabe wake aende Kongo DRC atuachie nchi yetu 2020.
 
Labda hawajalipia kodi kizimba maana nchi na ardhi ni mali ya rais kwa dhamana ya wanachi na ccm ndiyo iliyoshika dola duuu nchi lazima wote tu wendawazimu! Siasa 2020 hapa kasi tuuuu!
 
HII NCHI INA TARATIBU NA SHERIA ...WACHA WATU WANYOOSHWE KAMA NI WAKAIDI


Ukaidi upi sasa hapo au umekaririshwa, maana chama cha washereheshaji hamjitambui? Kwani chama cha siasa majukumu yake ni yapi?!
 
Mstahiki Meya wa jiji la Dar Isaya Mwita.Amekamatwa na police muda huu pamoja na baadhi ya Wanachama,Wakiwa katika uzinduzi wa Vizimba Kata ya Vijibweni.

======

Ni kweli amekamatwa, alikuwa kwenye kata yake akifungua matawi ya BAVICHA. Wakiwa njiani wanatembea, Polisi wakaja wakapiga Mabomu watu wakakimbia lakini yeye hakukumbia.

Polisi wakamkamata na kumpeleka kituo cha Polisi chang'ombe. Wamemkamata peke yake. Sasa hivi Mawakili ndo wapo wanashughulikia hilo swala. Watatoa update baadae.
View attachment 952630View attachment 952632
Kizimba alichokuwa anaenda kuzindua

Hivi polisi wetu wanaelewa wakifanyacho kweli? Wanazijua sheria za nchi kweli hawa?

Ama ni kutekeleza amri tu mbele kwa mbele ili mradi ni amri hata kama imetoka kwa kiongozi wa serikali mwehu fulani?
 
Back
Top Bottom