Kigamboni: Mstahiki Meya wa jiji la Dar Isaya Mwita na wanachama wengine, wakamatwa na Polisi

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Mstahiki Meya wa jiji la Dar Isaya Mwita.Amekamatwa na police muda huu pamoja na baadhi ya Wanachama,Wakiwa katika uzinduzi wa Vizimba Kata ya Vijibweni.

======

Ni kweli amekamatwa, alikuwa kwenye kata yake akifungua matawi ya BAVICHA. Wakiwa njiani wanatembea, Polisi wakaja wakapiga Mabomu watu wakakimbia lakini yeye hakukumbia.

Polisi wakamkamata na kumpeleka kituo cha Polisi chang'ombe. Wamemkamata peke yake. Sasa hivi Mawakili ndo wapo wanashughulikia hilo swala. Watatoa update baadae.
IMG-20181201-WA0038.jpg
IMG-20181201-WA0039.jpg

Kizimba alichokuwa anaenda kuzindua
 
Back
Top Bottom