Mjasiria Akili JF-Expert Member Sep 24, 2012 823 372 Oct 27, 2024 #1 DAWASA wamekuwa hawatutendei haki wakazi wa maeneo ya Kifuru kwa ukosefu wa maji kwa muda mrefu, na mbaya zaidi hakuna taarifa yoyote ya sbb za ukosefu wa maji.
DAWASA wamekuwa hawatutendei haki wakazi wa maeneo ya Kifuru kwa ukosefu wa maji kwa muda mrefu, na mbaya zaidi hakuna taarifa yoyote ya sbb za ukosefu wa maji.
TAJIRI MKUU WA MATAJIRI JF-Expert Member Dec 1, 2010 8,339 16,488 Jan 28, 2025 #4 CCM oyeee. Lucas Mwashambwa fika hapa haraka utetee kufeli kwa CCM
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Mar 19, 2024 4,566 2,233 Jan 28, 2025 #5 Tutaenda mwezini wazee?!?