Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

Status
Not open for further replies.
can't rule out anything yet.....remember Sokoine?
Ngabu, mi hii nilipoambiwa nilijikuta najiuliza 'Hivi miaka 5 mingi sana eh?' kuna vitu vingi vya ajabu vimejitokeza tangia 2005 na hata hiyo 2010 haijafika. Vifo sasa vimekuwa vingi, matukio yasiyotarajiwa nayo lukuki tena ya kushangaza. What's wrong?
 
Kuna ule msemo wa kiingereza usemao, "desperate times needs desperate measures".

Mheshimiwa Chacha Wangwe alijaribu kufanya awezalo kushiriki kukuza demokrasia lakini hakuwa na muda wa kutosha.

Basi tuliobakia hasa familia yake na wananchi wa jimboni kwake Tarime tumwombee marehemu na roho yake ipumzike milele kwa amani, Amen.
 
Natumaini kuna tulilojifunza Watanzania kwa kifo hiki. Wangwe tangulia, tutaendelea kupambana na mafisadi wawe CCM, Serikalini au hata Upinzani kwa ajili ya kukuenzi na kuweka maslahi ya mama yetu Tanganyika mbele zaidi ya kila kitu. RIP Chacha Wangwe.
 
Ni pigo jingine kwa kambi ya upinzani. Mungu ailaze mahala peponi roho ya marehemu. Amen.
 
GT, wenzio wanatoa pole kwanza msibani... mengine yanafuata baadaye. Siyo kila kitu kujitafutia pointi.

sawa sasa wale waliokuwa wakisema atwangwe risasi watatoa machozi ya mamba?

Utatakaje mtu atwangwe risasi kisa umetofautiana kimawazo naye?


Chacha Wangwe dared to be different na alikataa kufuata status Quo CHADEMA sasa kama alikuwa right au wrong thats another case lakini alionyesha courage ambayo wengi wanaogopa kuonyesha ndani ya CHADEMA nayo ni kuuliza hard questions
 
Tangulia Chacha, wengi tutakukumbuka, nasikitika umewahi kuondoka kabla ya kutimiza ndoto zako mwenyewe, za wananchi wa Tarime na watanzania. Mungu awape faraja na ustahimilivu wafiwa wote
 
RIP- Chacha Wangwe

Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi, pia awafariji na kuwapa nguvu ndugu, jamaa na familia yake.
 
sote tu mavumbi tumetoka mavumbini na tutarudi mavumbini.

Lakini si vifo vyote ambavyo Mungu anaamua vitendeke kwa wakati huo,kunavingine vinasababishwa kwa mda usi muafaka.
 
sawa sasa wale waliokuwa wakisema atwangwe risasi watatoa machozi ya mamba?

Utatakaje mtu atwangwe risasi kisa umetofautiana kimawazo naye?


Chacha Wangwe dared to be different na alikataa kufuata status Quo CHADEMA sasa kama alikuwa right au wrong thats another case lakini alionyesha courage ambayo wengi wanaogopa kuonyesha ndani ya CHADEMA nayo ni kuuliza hard questions

huyo aliyesema hivyo keshaomba radhi mwanzoni kabisa wa maneno yake na akaenda kutoa pole. Na bado unaendelea kuhalalisha kutotoa pole kwako kwa kuleta masuala ya Chadema. Pamoja na kwamba unajihisi kuwa uko right, fanya uungwana basi toa angalau pole kwa familia ya marehem!mzee siyo kila kitu ni siasa. Hapa kuna msiba, ni uungwana kupeana pole na kutakiana faraja.
 
bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe..

demokrasia imepata pigo..katika siku za karibuni hatujamsikia ...tangu aliposema yupo kimya kwa ajili ya kumuuguza mwanawe....pole kwa wote!
 
Pole kwa wa TZ woote, hasa familia ya CW.
Mungu tunakuomba weka roho yake sehemu stahili
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom