comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
- Lowassa hakuwa Mmasai bali ni Mmeru aliyezaliwa umasaini;
- Hakuna mtu aliyefika matanga ya Lowassa na kupata nafasi ya kuongea ambaye hajawahi kumsema Lowassa vibaya;
- Lowassa na Kikwete hawajawahi kuwa marafiki bali ni watu waliofanya mambo mengi pamoja;
- Mahusiano ya Lowassa na Kikwete ni ya muda mrefu sana kuliko muda aliokaa CHADEMA na yalihusu maisha zaidi kuliko ugombea urais
- Historia ya Lowassa haiwezi kukamilika bila kumtaja Kikwete pia
- Kama watu wangemskiliza Mbowe, Lowassa angekufa kwa kuchomwa moto
- Kama watu wangeskiliza Lema watu wangemzomea Lowassa badala ya kumlilia