pongwa yusufu
Senior Member
- Jul 28, 2016
- 189
- 151
mbona unawasifia saana wakati hao jamaaa na washirika wao wakipata tabu sana kuiangamiza iraq walichukua muda mrefu sana ,hadi wanaondoka iraq japo walimyonga sadam husein lkn bado wakisumbuliwa na wanamgambo tu wa iraq kule?