Kifaa hiki kinaitwaje kwa Kiswahili

"Tangi la birika" au "birika la tangi" Ila chunga sana! usije ukasema 'bikira'.
 
Mtungi wa umeme.
Hiyo ni sentesi au tuseme ni maelezo na wala sio jina,
wewe ni kama wale wanaojaribu kubadilisha majina na kuwa sentesi/maelezo, mfano mnabadilisha Kipovu na sasa mnaita mtu mwenye ulemavu wa macho, zeruzeru mnaita mtu mwenye ulemavu wa ngozi

Tupe jina sio maelezo
 

Hata kwa Kingereza ukisoma utakuta ni sentensi.

Usiwe finyu.
 
Kwa hali hio acheni tu kizungu kitumikekam lugha ya kufundshia
kiuhalisia ni kua hakuna lugha ambayo imejitosheleza kwa matumizi yake..ndio maana hata kizzungiu kimekopa maneno mengi tu toka ufaransa na maeneo mengine....!! Ila kubadil lugha ya kufundisha iwe kiswahili...mmmmh hapana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…