Kidiplomasia, inaruhusiwa kupiga picha hivi!?

719A5086.JPG

Naombeni kujuzwa kama ni sawa kupiga picha ya kiofisi/kiserikali wahusika wakishikana mabega/nyonga!
huyo mwenye tai ina michirizi myekundu suti yake nimeielewa..nahisi ndio zile za laki saba
 
Mchango upi? Tutambulishe mchango wake kidogo basi.
Mchango wake kwa serikali awamu ya 1....akiwa Mkuu wa TISS alifanya mengi wakati wa uhujumu uchumi na tishio la kupinduliwa kwa serikali ya JKN! Baada hapo akapotelea UN kwa miaka mingi sana....ndio amerudi sasa akapewa amalizie uzoefu serikali ya 5
 
Basi hapo inaonekana anaonyesha uzoefu wake wa muda mrefu. wamwache tu.
 
Huyo maza nasikia hakuwahi kuolewa wala kuzaa,kwa hiyo usishangae anatamani mzee angalau ashike nafasi hata kwa muda
 
Back
Top Bottom