Kiasili na kisheria, uchaguzi ni gharama. Ni muhimu sana wagombea uongozi wa CHADEMA kutumia fedha ipasavyo bila rushwa wala hofu ili kushinda uchaguz

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
22,558
23,922
Nimeona nakuskia watu mbalimbali mitandaoni na kwenye vyombo vya habari wakipiga wayowe na kulalamika ati mgombea uongozi Fulani wa uongozi chadema Taifa ametenga kiasi fulani cha fedha kwaajili ya uchaguzi. Nikashangaa na kucheka sana, kwamba mpaka karne hii ya sayansi na teknolijia kuna watu hawajui kwamba elections are very expensive processes?

Nadhani hiyo ni ishara kwamba kuna wagombea na wafuasi wao hawakujiandaa kiuchmi kabisa hususani kwenye uchaguzi huu muhimu sana wa chadema ngazi ya Taifa. Huenda ni kwasabb ya uelewa na ufahamu finyu juu ya masuala ya chaguzi. Nawashauri wakajipange vizuri, japo muda tayari umewatupa mkono sana.

Na wale wagombea uongozi pamoja na wafuasi wao waliojipanga vizuri, na waliojiandaa kwa hali na mali, ni vizuri wakatumia kila rasilimali muhimu waliyoiandaa kwaajili ya uchaguzi ikiwa ni pamoja fedha na watu, wazitumie bila woga wala hofu kwani nguvu na msingi wa ushindi wowote ule katika ushindani ni uchmi imara.

Tumieni fedha na mali kadiri iwezekanavyo bila kujali mayowe na makelele ya wasio na fedha na mali, kwani fedha ni ya kutafuta kwa bidii na kura pia ni za kutafuta kwa mipango na bidii.

Uoga wako ndio umaskini wako, na uwezo wako kiuchmi ndio ushindi wako kwenye uchaguzi.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Ni kiongozi mkuu maana amekifanya chama kiwe tegemezi, CHADEMA kilipaswa kiwe na hostel, kumbe na ofisi zake kama vyanzo vya mapato
kiongozi mkuu kafanya nini na nyinyi wasaidizi na washauri wake katika chama mlikua wapi na mlifanya nini au mlikua mnakodoa mimacho na umaskini wenu sasa hivi ndio mnajitia kimbelembe ai ng'we ng'we ng'we?

mlikua wapi 🐒
 
Back
Top Bottom