Kiapo cha Baraza la Mawaziri na ukimya wa Lowassa!

Wampeleke mahakama mashaidi wapo akina LEMA, SLAA, LISU, MNYIKA, MDEE NA MBOWE kwani kwa vinywa vyao walisema wana ushahidi wakuprove LOWASA ni fisadi (video zipo YouTube, sijui mtazikataa, manake unafiki ndio asili yenu). Najua upinzani ni wazalendo kama vipi walisaidie taifa, bila kumsahau shahidi mwengine KUBENEA kupitia gazeti lake la MWANAHALISI , kwa miaka minane alikuwa akiandika habari za kiuchunguzi kuhusu ufisadi alioufanya LOWASA na ROSTAM. Please please waheshimiwa nilio wataja walisaidie taifa
 
mhhhh mpango safishasafisha

kwahio Kama ni uozo aliuona au ulijadiliwa kweny hilo baraza haruhusiwi kusema kisa Tu amekula kiapo

Kama ni kweli kunatatizo kweny sheria zetu ila nnapata wakati mgumu kuamin ulichosema
Huo ndiyo ukweli wenyewe. Ni pale tu atakapokula kiapo cha Kimahakama ndiyo atakapokuwa na uhuru wa kusema yaliyojadiliwa kwenye baraza la mawaziri!! Hata nyaraka za Baraza la Mawaziri ni siri kubwa (Top secret) kiasi kwamba hata ukiondoka hutakiwi kuwa nazo!!
 
Ha
Anaweza kuwa siyo fisadi lakini pia anaweza kuwa lakini inawezekana hakuna evidence zenye mashiko ili kuthibitisha ufisadi wake na kumtia kolokoloni. Lakini whether ni fisadi ama siyo hilo ndiyo limeshakuwa jina lake. Ikumbukwe pia kwamba CCM pamoja na opposition wamekuwa wakimwita hivyo kwa muda wote mpaka hapo alipogombea opposition ndiyo wakaacha kumwita na kutaka kulazimisha na wengine wasimwite hivyo. Dawa kwa opposition kwenda mahakamani kuliharamisha hilo jina lake la Fisadi. Vinginevyo walikubali na walione ni jina la kawaida kama vile Bwege, Pombe, Masikini, Masalakulagwa, etc
 
Richmond ni Mfano tu wa Tabia za Rushwa rushwa za Lowassa!

Tuachane na Richmond jee zile Rushwa za kwenye Misikiti na Makanisa ambazo hata Chadema walikuwa wakizilaani hasikutosha kumnyima U Rais au nazo alitumwa na Kikwete?
 
Richmond ni Mfano tu wa Tabia za Rushwa rushwa za Lowassa!

Tuachane na Richmond jee zile Rushwa za kwenye Misikiti na Makanisa ambazo hata Chadema walikuwa wakizilaani hasikutosha kumnyima U Rais?
Usihamishe Magoli!!
 
Unachotetea ni nn?
Jamaa yako mwambie akae mkao wa Kula.
Kujificha nyuma ya mgongo wa Mzee wa msoga haisaidii.
Jinai haifi hata miaka 100.
Ukweli utajulikana baada ya mahakama kutoa uamuzi, na si vinginevyo
 
But delivered in a Wrong Number!!
HAkuna cha wrong number, message imekuwa delivered penyewe. Kama issue ya Richmond haitoshelezi ku justify issues iliyoko mezani lazima zitafutwe issues zingine zilizowahi kufanywa na mtu yule yule na zipimwe ili zitueleze tabia ya mhusika.
 
Mimi huwa nasikia wanasema Richmond ilikuwa kampuni feki. Sasa ile mitambo pale Ubungo alileta nani? Hivi kweli kampuni feki inaweza kuleta mamitambo yote yale aliyozindua Obama?
 
Kunyamaza nako dawa
 

iv si ilikua tanesco ndio wanatafuta mzabuni wa kuleta mitambo ya kuzalisha umeme iweje ikajadiliwe kweny baraza la mawaziri na sio tanesco

kwani mashirika ya sirikali yanapotoa tenda hua zinajadiliwa na baraza la mawaziri kupata mzabuni

SOMETHING IS NOT RIGHT
 
Tufanye EL ndio RICHMOND. Naomba kujua malipo kwa RICHMOND analipwa nani hivi sasa?
 
Hvi issue ya lowasa miaka mingapi sasa imepita uchaguzi wote tumeongerea hayo.mzee wa watu yupo kimya c tu muache.mangapi ya kifisadi yapo .mnatu tu chosha sana na issue hiyo.tufanye kazi .kama presedent anavyo taka lets join hand
 
Pamoja na kwamba lowasa simpendi,lakini huyu mzee ana busara sana,angekua ni mwingine katemwa ccm angeongea yote.we mcheki nape anavyolialia daily kwenye media kisa uwaziri.
dogo as asante kwa kutii ushauri wangu. Huoni unavyotema pointi. Sasa ole wako urudie kosa
 
Mitambo ilitafutwa katika hali ya dharula na jambo lenyewe lilianzia kwenye Baraza la Mawaziri. Unakumbuka ile "Mvua ya kutengeneza"?
 
Hvi issue ya lowasa miaka mingapi sasa imepita uchaguzi wote tumeongerea hayo.mzee wa watu yupo kimya c tu muache.mangapi ya kifisadi yapo .mnatu tu chosha sana na issue hiyo.tufanye kazi .kama presedent anavyo taka lets join hand
Baada ya uchaguzi kuisha CCM wengi walishaacha kumtaja huyu mzee kwa jina la fisadi. Tatizo ni hawa akina Nassari wanakosa hoja halafu wanaanza tena kulazimisha watu wote kwa pamoja tumwone EL alionewa na Mwakyembe. Hayo yalipita na hakuna namna ya kuyaplay back ili sasa watu wamwone EL ni mt. Clean. Tuchape kazi.
 
Hayo yalipita na hakuna namna ya kuyaplay back ili sasa watu wamwone EL ni mt. Clean. Tuchape kazi.
Ina maana Mwakyembe hajui kama haiwezekani ku-Play back mambo ya Richmond. Mimi najua shuleni tulikuwa tunafundishwa jinsi wakoloni walivyowatenda mababu zetu. Jee tulifundishwa kwa lengo la kuurudisha Ukoloni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…