many thanks mkuu kwa ufafanuzi huu.Maofisa wa TAKUKURU walienda baada ya kupewa ruksa na Mkurugenzi wa TAKUKURU
na kikao kilikuwa muhimu huko Botswana sababu hao maofisa walikuwa ni watendaji
wa Regional block SADCC ya taasisi zote za kuzuia rushwa...
na kibali walichoomba waliregemea wangepata in time...walichokifanya ni kuwahi mkutano
since wao ni wahusika wakuu wa mkutano huo...wako secretarieti...na gharama zilikuwa za SADCC sio serikali...
yaliyobaki ni majungu tu ya kitanzania