Kiama cha Russia, Ukraine Kurejesha Jimbo lake la Crimea

Kwa kukusaidia, hakuna ndege ya Nato ilikatisha anga lá Urusi baada ya vita ya pili ya Dunia... Israel imeundwa 1948, kwa hiyo na yenyewe haijawahi tuma Urusi ndege ku spy.... Urusi ilianguka kwa matatizo ya ndani na ufisadi wa Soviet communists. Usidanganyike kuwa Urusi iliangushwa na USA... Pili hata uchumi uwe mbaya vip Urusi bado itatengeneza silaha zake state of the Art arms. Na Nato sio wajinga hata siku moja kuwa tayari ku face battle na Putin Russia.. Hawa jamaa vita ni sehemu ya maisha. Ni wagumu kama chuma.
 
katika vita ya vietnam USA alipoteza jumla ya wanajeshi 55,000 huku south vietnam nae akipoteza wanajeshi 250,000.upande wa north vietnam yeye alipoteza jumla ya wanajesh 440,000
 
tulika kweny upande wa ndege usa alipata hasara san ndo maan vita ikawa ngum san kwake mpak akajuta kw nin alingilia vita.USA alipoteza ndeg za kivita 10,000 zikiwemo ndege 38 aina ya B-58,huku south vietnam nae akipotez ndege 2500.upande wa north korea vita kwake ilikuwa nyepesi san maan alipotez ndeg chache tu kutokan na ubora wa ndeg aina ya mig kufany vizur san vitan na pia alikuwa kapat system nzuri za ulinz kutok urusi.wao walipotez ndeg 200 tu
 
Ila awa jamaa wa north vietnam walikuw ni watu wa huruma san pamoj na kupotez watu wao wote waliwez kumsamee aliyekuw raisi wa south vietnam bwan ,Dương Văn Minh.baada ya kumkamata walimsamee na akawa anaishi tu vizur vietnam baadae wakamwambia kam anaon ayupo free anaweza kuombew ulaia usa au france,akakubali kwend france na kwel bila kinyong wakampelek kw eshima france
 
wamarekani awakupend south vietnam ichukuliwe na pia walitaman san waendelee kulipa damu ya ndug zao iliyopotea,ila kutokan na sababu zilizokuj kuonekan zilipelekea Richard nixon kurudisha nyumban wanajesh wake.nexon alituma CIA kwend kuchunguz kweny uwanj wa vita nini kinaendelea na pia kwend kuchunguz jeshi la north vietnam,baada ya uchunguz kukamilik aliletew report inayosem kuw ni zaid ya wanajesh ambao awajulikan walipo inafik elfu 35.na pia north vietnam inalindw na anti-missile za kisasa kbisa kutok urusi na china na haijulikan walizipitish kw njia gani mpak tukashindw kujua,na nusu ya marubani wa ndege zao za mig ni warusi wanaoziendesh kw siri san.baada ya report iyo kusomw na na nixon aliona hii vita inaweza ikamsha vita nyingine ya dunia akamua kuondoa jeshi
 
Mohamedrisa789.
Unatiririka kwa fact nono,urusi ni habari nyingine,wacha kabisa.
 
Mnavyochambua habari za vita za mataifa ya watu mtazani mlikuwepo wakati wanapanga hivyo vita namna watakavyopigana....
 
Watu hawajui historia vizuri, Crimea lilikuwa eneo la Urusi ila mwaka 1954 wakakubali liwe chini ya Ukraine wakati huo umoja wa USSR ukiwa hai. Ukweli ni kwamba hawawezi hata wachukue special force ya USA. KWANI KWA VIWANGO VYA MAZOEZI YA SPECIAL FORCE NA UTAALAMU HAMNA GAP KUBWA KATI YA US VS RUSSIA.
 
1b831114-4450-47a0-9939-41981940fe4d.jpg


Kiev is preparing a special military unit in a bid to retake Crimea, the Ukrainian premier says.

“We are working on a project that will prepare us to regain Crimea,” said Arsen Avakov, RT reported on Saturday.

Crimea declared independence from Ukraine on March 17, 2014 and formally applied to become part of Russia following a referendum a day earlier, in which 96.8 percent of participants voted in favor of the secession.

“We have nothing. We need a new army, a new National Guard, a new police force. This is what the government of Ukraine is working on right now. We must restore all of this, and then, with enough will, Crimea will be ours,” added Avakov, insisting “I have no doubt of that.”

He further stated that Kiev is currently training a separate special force within the Ukrainian National Guard.

Crimean officials, meanwhile, reacted strongly to the remarks by the Ukrainian minister emphasizing that an invasion would be repelled.

This is while Ukrainian President Petro Poroshenko (pictured below) commissioned the country’s defense ministry and the General Staff of the Armed Forces on Friday to draft plans to reinforce the border between Ukraine and Crimea.

“The Defense Ministry and the General Staff of the Ukrainian Armed Forces have been told to submit proposals on a considerable buildup of Ukraine’s defense capabilities in the Kherson region and along the entire Black Sea coast,” said a statement issues by the presidential press service.

The main objective of the plan is to counter the Russian army’s surging capabilities in Crimea, according to the Ukrainian Western-backed president.

Crimean authorities have dismissed Kiev’s latest military threats as a bid to “justify increasing defense expenditures in Ukraine.”

The development came a day after the chiefs of top US spy agencies predicted persisting upheavals in Ukraine during testimonies before the House of Representatives Intelligence Committee.

Head of US National Intelligence James Clapper alleged that Russia still views Ukraine as "Little Russia," adding that Moscow "will continue, I think, to be a proxy for separatists to sustain their interests in Ukraine."

CIA Director John Brennan also stated that there is "still uncertainty about how the Russians themselves are going to extricate themselves" from the Ukraine conflict.

Washington and Moscow have persistently been trading allegations about each other’s extent of involvement in the crisis with Russia fiercely rejecting a military role in the conflict while accusing the US of leading a growing Western military presence close to its borders.


Source: PressTV
hizi ni porojo tu, CRIMEA sasa ni sehemu ya URUSI hakuna anaeweza kulichukua bila kutangaza all ou war with Russia. na kwa sasa hakuna nchi yoyote duniani inayotaka kwenda vitani na Russia. hata John Kerry aliulizwa kwanini wamewatelekeza raia huko Syria bila msaada wowote? aliwajibu.. Mnataka Marekani iende vitani na Urusi? Swala la Marekani kwenda vitani na Urusi halipo.
 
Mnavyochambua habari za vita za mataifa ya watu mtazani mlikuwepo wakati wanapanga hivyo vita namna watakavyopigana....
ACHAGA KASHFA ZA REJA REJA WEWEEEEEEEE,,,,,,,,kama wewe hukusoma history basi isiwe nongwa! Au hujui historia ni sehemu ya elimu?
 
Kwa kukusaidia, hakuna ndege ya Nato ilikatisha anga lá Urusi baada ya vita ya pili ya Dunia... Israel imeundwa 1948, kwa hiyo na yenyewe haijawahi tuma Urusi ndege ku spy.... Urusi ilianguka kwa matatizo ya ndani na ufisadi wa Soviet communists. Usidanganyike kuwa Urusi iliangushwa na USA... Pili hata uchumi uwe mbaya vip Urusi bado itatengeneza silaha zake state of the Art arms. Na Nato sio wajinga hata siku moja kuwa tayari ku face battle na Putin Russia.. Hawa jamaa vita ni sehemu ya maisha. Ni wagumu kama chuma.
Umesema kweli. tusije kujidanganya eti marekani itaenda vitani na Urusi. Hicho kitu hakipo.
 
Back
Top Bottom