chamilo nicolous
JF-Expert Member
- Mar 10, 2016
- 2,097
- 1,456
lissu ni mwanasheria na analist of shame inayoonesha viongozi waliofilisi nchi, mnyika anadai anahushaidi yahuo ufisadi, kwa nini wabaki na maneno pasipo hatua, think bigHata hao walioLIKE hii post yako wajipime kiwango cha ubongo kwenye vichwa vyao. KESI ZA JINAI SI SAWA NA SUALA LA NDOA AU ARDHI. UKIFANYA JINAI, ANAYEWEZA KUKUSHITAKI NI JAMHURI TU, sasa sijui hao mawakili unaowazungumzia wanaanzia wapi kufungua hayo mashtaka!