Kesi ya kubaka kwa watoto wadogo

Kweli ufafanuzi unahitajika kutoka kwa wajuzi! Maana kuna date rape ambapo mbakaji huwa amejiandaa kwa spike kinywaji/food ya victim ili atimize lengo, anaweza kutumia condom, ambapo kwa vyovyote manii hayatopatikana when ushahidi is required! Inakuaje hapo? Wajuzi tujuzeni! Na pia kama sikosei kuna kesi ya kuharibiwa mtoto 2yr wa kigoma na watoto wenzie waliomtia jiti hata inabidi afanyiwe surgery kumueka sawa, mama wa mtoto tulikua tukimwona ktk news lkn siku hizi media zimechoka kumuandama naona
hao walio tumia Jiti hawajafanya ubakaji ni kitu ambacho kwa kiswahili ni ngumu kukieleza lakini kwa kitaalamu ni GRAVE SEXUAL OFFENCE Kosa baya linalo kuwa ni Kama ubakaji kwa vigezo (mpenyo) lakini tofauti ni kuwa uume unakuwa haujatumika.... ama vimetumika viungo vingine vya mwili ama vifaa mbaali na mwili Kama JITI. Kwakuwa ni watoto basi hawata hukumiwa isipokuwa tuu walielewa wanachokifanya...
 
Back
Top Bottom