Monopoly ya azam ipo kitaalamu, azam ana makampuni tofauti tofauti na ndio maana hawezi kushtakiwa kwa monopoly kama iliyokuwa Microsoft au Google.View attachment 3091402
Wanajukwaa ikumbukwe Google walishtakiwa Kwa kufanya monopoly kwenye search engine ikiwa ni pamoja na kumiliki platform nyingi kama vile, Android, Chrome, YouTube, Gmaps, Gmail, Gmeet, n.k now wameshtuka wanarecommend pia na browser nyingine
Lakini Kesi kubwa ilikuwa ni kudominate search engine, na kufanya watu wasitumie search engine za aina nyingine kama bing, duckduckgo n.k na hata browser kama vile Firefox n.k zilikuwa na default Google kama search engine.
Na vile vile Google walikuwa wakilipa watengenezaji wa browser Ili waweke Google kama default search engine.
Sasa tukiangalia ulimwengu wa AI tuliopo Sasa hi monopoly waliyofanya Google imewapa uwezo mkubwa sana wa kutrain AI kwaiyo Google wanadata nyingi sana ukilinganisha na Kampuni nyingine.
Google inaweza kulazimishwa kuuza au kutomiliki baadhi ya platform zake hususani Android, ikumbukwe Apple nao wanasakamwa Kwa hizi hizi monopoly kama vile Iwatch kutofunction kwenye android na hivyo mtumiaji wa Iwatch ni lazima awe na iphone na Janja Janja nyingi kama tulivyoona kipindi iphone Zina jack ya earphone Kuna baadhi zilikuwa zinazingua, yalifanywa yote ilimradi utumie earphone zao.
Sasa Tuangalie Kampuni ya Bakhresa, King'amuzi Cha Azam na chanel zake, wao ndio wanaorusha matangazo ya ligi za bongo na baadhi ya nnchi, shida inapokuja ni kuwa Ili uone ligi ya bongo ni lazima uwe na Kisimbusi Cha Azam bila hivyo huwezi, hii ni Moja ya monopoly inayofanywa, binafsi naona Kuna haja Serikali ikailazimisha Azam kuonyesha channel zake kwenye visimbusi vingine Ili kuondoa monopoly kwenye biashara.
snipa 2024
Na kumbuka Google inaenda kuvunjwa vunjwa vipande vipande iwe na kampuni kadhaa zinazojitegemea nadhani kitafanyika mwakani. Itakuwepo ya google search, chrome browser na huduma zao nyingine nadhanu na na androidView attachment 3091402
Wanajukwaa ikumbukwe Google walishtakiwa Kwa kufanya monopoly kwenye search engine ikiwa ni pamoja na kumiliki platform nyingi kama vile, Android, Chrome, YouTube, Gmaps, Gmail, Gmeet, n.k now wameshtuka wanarecommend pia na browser nyingine
Lakini Kesi kubwa ilikuwa ni kudominate search engine, na kufanya watu wasitumie search engine za aina nyingine kama bing, duckduckgo n.k na hata browser kama vile Firefox n.k zilikuwa na default Google kama search engine.
Na vile vile Google walikuwa wakilipa watengenezaji wa browser Ili waweke Google kama default search engine.
Sasa tukiangalia ulimwengu wa AI tuliopo Sasa hi monopoly waliyofanya Google imewapa uwezo mkubwa sana wa kutrain AI kwaiyo Google wanadata nyingi sana ukilinganisha na Kampuni nyingine.
Google inaweza kulazimishwa kuuza au kutomiliki baadhi ya platform zake hususani Android, ikumbukwe Apple nao wanasakamwa Kwa hizi hizi monopoly kama vile Iwatch kutofunction kwenye android na hivyo mtumiaji wa Iwatch ni lazima awe na iphone na Janja Janja nyingi kama tulivyoona kipindi iphone Zina jack ya earphone Kuna baadhi zilikuwa zinazingua, yalifanywa yote ilimradi utumie earphone zao.
Sasa Tuangalie Kampuni ya Bakhresa, King'amuzi Cha Azam na chanel zake, wao ndio wanaorusha matangazo ya ligi za bongo na baadhi ya nnchi, shida inapokuja ni kuwa Ili uone ligi ya bongo ni lazima uwe na Kisimbusi Cha Azam bila hivyo huwezi, hii ni Moja ya monopoly inayofanywa, binafsi naona Kuna haja Serikali ikailazimisha Azam kuonyesha channel zake kwenye visimbusi vingine Ili kuondoa monopoly kwenye biashara.
snipa 2024
Ligi ya Tanzania inanunuliwa na Tenda imetolewa, Bakhresa kainunua kwa miaka 10 na kalipa zaidi ya Bilioni 200, mpaka unaona Club za Tanzania zinalipa wachezaji Milioni 20 ujue ni hela za Bakhresa, kushinda tenda si monopoly sababu imetangazwa wazi na mmoja wa Alioshindwa na Azam ni Dstv.View attachment 3091402
Wanajukwaa ikumbukwe Google walishtakiwa Kwa kufanya monopoly kwenye search engine ikiwa ni pamoja na kumiliki platform nyingi kama vile, Android, Chrome, YouTube, Gmaps, Gmail, Gmeet, n.k now wameshtuka wanarecommend pia na browser nyingine
Lakini Kesi kubwa ilikuwa ni kudominate search engine, na kufanya watu wasitumie search engine za aina nyingine kama bing, duckduckgo n.k na hata browser kama vile Firefox n.k zilikuwa na default Google kama search engine.
Na vile vile Google walikuwa wakilipa watengenezaji wa browser Ili waweke Google kama default search engine.
Sasa tukiangalia ulimwengu wa AI tuliopo Sasa hi monopoly waliyofanya Google imewapa uwezo mkubwa sana wa kutrain AI kwaiyo Google wanadata nyingi sana ukilinganisha na Kampuni nyingine.
Google inaweza kulazimishwa kuuza au kutomiliki baadhi ya platform zake hususani Android, ikumbukwe Apple nao wanasakamwa Kwa hizi hizi monopoly kama vile Iwatch kutofunction kwenye android na hivyo mtumiaji wa Iwatch ni lazima awe na iphone na Janja Janja nyingi kama tulivyoona kipindi iphone Zina jack ya earphone Kuna baadhi zilikuwa zinazingua, yalifanywa yote ilimradi utumie earphone zao.
Sasa Tuangalie Kampuni ya Bakhresa, King'amuzi Cha Azam na chanel zake, wao ndio wanaorusha matangazo ya ligi za bongo na baadhi ya nnchi, shida inapokuja ni kuwa Ili uone ligi ya bongo ni lazima uwe na Kisimbusi Cha Azam bila hivyo huwezi, hii ni Moja ya monopoly inayofanywa, binafsi naona Kuna haja Serikali ikailazimisha Azam kuonyesha channel zake kwenye visimbusi vingine Ili kuondoa monopoly kwenye biashara.
snipa 2024
Zingatia theme, ambayo ni "trade Monopoly"Mfano wa Google na Azam hauna uhusiano wowote mzee,
Kuna haja ya kufanya sublicensing ambayo Azam kama atakuwa ndio major right to broadcast owner na wengine wapewe idadi ya mechi, ndiomana EPL 2025/2026 Sky sports kapewa na TNT kapewa vyote vinawezekana mkuu, na hii itakuza zaidi ligi ya bongo zaidi ya sasaLigi ya Tanzania inanunuliwa na Tenda imetolewa, Bakhresa kainunua kwa miaka 10 na kalipa zaidi ya Bilioni 200, mpaka unaona Club za Tanzania zinalipa wachezaji Milioni 20 ujue ni hela za Bakhresa, kushinda tenda si monopoly sababu imetangazwa wazi na mmoja wa Alioshindwa na Azam ni Dstv.
So kutaka Bakhresa Alipe Bilioni 200, anunue Camera, Arushe matangazo, Alipe kila kitu halafu kwenye kuonesha ashee na wengine ni utoto.
Dunia nzima Mpira unaoneshwa hivyo, mbona husemi Dstv aweke Chanell zake Azam watu wa one Epl?
Sasa hao wote wameweka pesa kwenye hizo mechi wanazoonyesha, na huko EPL kuna kampuni kama tano hv wanafanya hy EPL na wote wanatoa pesa, sasa njoo Bongo nambie kuna kampuni gani inaweza kutoa pesa kufanya ligi kama tuu Dstv alishindwa mpaka akataka awe anarusha mechi za simba na Yanga tuu.Kuna haja ya kufanya sublicensing ambayo Azam kama atakuwa ndio major right to broadcast owner na wengine wapewe idadi ya mechi, ndiomana EPL 2025/2026 Sky sports kapewa na TNT kapewa vyote vinawezekana mkuu, na hii itakuza zaidi ligi ya bongo zaidi ya sasa
Acha uongo mzee, kitu kama hujui uliza upewe elimu. Suala la Taifa stars TBC wanaruhusiwa kurusha ila n ujinga wa TBC wnyw kutokujua mambo hayo ila kwa kipindi hichi TBC wameamka kutoka usingizini ndo mana hadi mechi za CAF walianza kuonyesha.Ila TFF na Azam wamezingua,Azam walitakiwa wamiliki ligi kuu tu lakini swala la kumiliki na michezo ya Taifa Stars sio sawa angalau televisheni ya taifa ilitakiwa ipate haki ya kuonesha mechi za Taifa Stars.
Anachofanya Azam sio monopoly mzee wangu, em nambie hapa bongo kuna kampuni gan wanaweza kufanya Production ya mechi hata mechi moja tuu.Zingatia theme, ambayo ni "trade Monopoly"
We hujiulizi kwanini Makampuni ya simu yanalazimishwa kutumia type c, Si ni kwasabu ya charger za simu ni mojawapo ya vitu vinavyochafua mazingira, Sasa kwanini uwe na Azam, Zuku, continental, startimes kwenye nyumba Moja huoni mbeleni tutajaza taka za ving'amuzi kwasabu ya monopoly.
Hio inawezekana tu kama huyo mwengine anai value ligi kama main broadcaster, Azam ameivalue kwa Bilioni 200, kama mtu anataka Asilimia 10 ama 20 za Mechi basi atatakiwa kutoa asilimia 10 ama 20 za hicho kiasi, it's that simple.Kuna haja ya kufanya sublicensing ambayo Azam kama atakuwa ndio major right to broadcast owner na wengine wapewe idadi ya mechi, ndiomana EPL 2025/2026 Sky sports kapewa na TNT kapewa vyote vinawezekana mkuu, na hii itakuza zaidi ligi ya bongo zaidi ya sasa