Thabit Madai
Member
- Oct 8, 2024
- 52
- 137
Yanga sio timu kubwa bali ni timu kongwe, Sisi na Yanga hatutofautiani kwakuwa wao wanalala kwenye hotel ya nyota 5 na sisi tunalala hotel ya Nyota 5, Sisi tuna Bus kubwa kuliko wao kwahiyo sisi hatuwatazami Yanga kama timu inayotuzidi sana.
Yanga ni wabinafsi sana na wanataka kushinda kila mechi, sisi Tabora tuna wachezaji wazoefu wengine wamewahi kucheza Yanga kama Yacouba Sogne na Heritier Makambo hivyo tumejipanga kupata matokeo kesho.
Kesho Yanga hapiti kwenye mlango wa nyuma"
🎙Christina Mwagala
Msemaji wa Tabora United