Kesho tutaweka majina ya Wabunge na majimbo yao kwa watakaopitisha kuuzwa kwa bandari

Mazingaombwe haya ndiyo aliyoyaona mshamba Msukuma' akajua duniani hakuna tena linalowezekana bila ya hao DP!
Lakini haya hayawafai watu wa Zanzibar na bandari zao!


Msukuma na wenzake wamekwenda kujionea live, wewe ambae hata bandari ya kwenda Mafia hujawahi kuiona, baki unaunguzwa na mafanikio tu.
 
Msukuma na wenzake wamekwenda kujionea live, wewe ambae hata bandari ya kwenda Mafia hujawahi kuiona, baki unaunguzwa na mafanikio tu.
Ujinga ni wewe kujifanya unajua ninayoyajua mimi. 'Actually' siyo ujinga, ni upumbavu wa kiwango cha juu sana.

Hapa unajionyesha wazi wewe na Msukuma hamna tofauti katika kuhadaiwa na mapichapicha.
 
Ujinga ni wewe kujifanya unajua ninayoyajua mimi. 'Actually' siyo ujinga, ni upumbavu wa kiwango cha juu sana.

Hapa unajionyesha wazi wewe na Msukuma hamna tofauti katika kuhadaiwa na mapichapicha.
Tumeyaona live.

Hatutaki tena mambo ya kutazama bandari moja.

Makubaliano na serikali ya falme ya Dubai ni kushirikiana kimaendeleo bandari zote za Tanzania.

Nyie mnaongelea bandari moja tu? Mbona hamjajipanga vizuri? au hamjasoma makubaliabo?

Zidisheni bidii, bado sana kelele zenu hazisikiki. Makubaliano ya kuendeleza ni kwa bandari zote, za baharini na zisizo baharini.


Mmechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
 
Hata Luhaga Mpina?

Hapana, ninaamini wamo watakaokataa uhuni huu.
Mmechelewa jamvini karamunimeshaliwa, mkataba wa ushirikiano kimaendeleo na falme ya Dubai signed and sealed.

1686338044682.png
 
Hao watambulike kama virusi vya taifa au maadui wa taifa

Maradhi ,ujinga na umasikini sio adui yetu kwa sasa
Bali hao wabunge ndio maadui wabaya kuliko ujinga
Kuliko maradhi
Kuliko umasikini

Hao ni hawafai

Ile list of shame ya dr slaa bilashaka ndo hawa
 
Tumeyaona live.

Hatutaki tena mambo ya kutazama bandari moja.

Makubaliano na serikali ya falme ya Dubai ni kushirikiana kimaendeleo bandari zote za Tanzania.

Nyie mnaongelea bandari moja tu? Mbona hamjajipanga vizuri? au hamjasoma makubaliabo?

Zidisheni bidii, bado sana kelele zenu hazisikiki. Makubaliano ya kuendeleza ni kwa bandari zote, za baharini na zisizo baharini.


Mmechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
hivi wewe... rais samia..? kuna uandishi fulani najiwaga na hisia...
 
Hao watambulike kama virusi vya taifa au maadui wa taifa

Maradhi ,ujinga na umasikini sio adui yetu kwa sasa
Bali hao wabunge ndio maadui wabaya kuliko ujinga
Kuliko maradhi
Kuliko umasikini

Hao ni hawafai

Ile list of shame ya dr slaa bilashaka ndo hawa
Roho imewauma mama kutoboa ushirikiano na falme ya Dubai?
 
Kesho 10/06/2023 ndio siku ya kuwatambua wabunge watakaoamua kuuza bandari yetu , kwa kuweka kumbukumbu sawa tutaweka majina yao yote pamoja na Majimbo yao ili historia iwakumbuke kwa kuuza bandari

Hii itakuwa ni kumbukumbu kama ilivyowekwa kumbukumbu ya Chief Mangungo wa Msowero na Dr. Carl Peters.

JINA LA MBUNGE JIMBO LAKE

1. JOSEPH MSUKUMA. GEITA VIJIJINI
2.
3.
4.
5.
6.
7.
........

Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
Mkuu ushachelewa kiuhalisia,cha muhimu muda huu kamwambie shemeji yako afunge ile clearance and forwarding pale bandarini awahi kununua mashamba handeni mziha aanze ufugaji wa mbuzi na kondoo hao dp wedi bro hawana uo ushubwada wa clearance and forwarding vikampuni vya kishemeji shemeji hao wapo kimataifa zaidi kulinda image yao.
 
Back
Top Bottom