hosh kosh
JF-Expert Member
- Mar 2, 2017
- 748
- 572
duhNimekosekana hewanI miezi miwili Leo nimeiweka kwenye sim nashangaa haipandishi network,kufuatilia huduma Kwa wateja wananiambia bila aibu inamilikiwa na mtu mwingine

hahaa sawa mkuu pamoja..ila tigo wameturudishia bundle letu la chuo km kawaida aisee kelele zmesaidiaNDO MWANZO WA KUHARIBU LUGHA MKUU