Kero yangu ni vibonge, jirekebisheni

Nimezunguka karibia mikoa yote Tanzania. Kila nilipo pita na kuweka makazi ya muda.
Nilikuwa nakuta na hawa watu wanene maarufu kama VIBONGE (wingi) na Bonge (umoja) ( siyo rasimi, onesigara ata fafanua hapo.)

Sasa hawa Vibonge binafsi wananikera Sana, yaani wote ME na KE , wanatabia zinazo fanana ,kama Uchafu, Uzembe na uvivu, Kula Sana, kujikuna sehemu nyeti au kuweka mikono huko,, kutoa mitusi ovyo hata mbele ya watoto wadogo, dharau na mengine mengi.

Nimekuja kutoa hasira zangu hapa na kuwachana hawa Ndugu zangu Vibonge, kutoka na hii tabia ya kibonge mwanzao ambaye naishi naye hapa kugoma kubadilika.

Yaani akiwa ana swaki limkono loote linajaa povu la dawa ya Meno.

Anatema hovyo ovyo mapovu ya dawa ya Meno,

Anaogea ndoo YEYOTE anayo iona mbele yake.

Machupi chupi yake kuya Acha bafuni NI kawaida ( huyu ni wakike.)

Kuna wakiume naye anatabia hizohizo hapa Jirani yangu,yaani kila nikikutana naye anakuna pumb* na analazimisha kunipa mkono,akiwa anamafua apenga kamasi bila leso,.

Tukienda Kula gengeni anasubiri wewe uagize Kwanza ,kama ni wali Nyama atapiga vifundo kadhaa vya wali na Nyama mbili anakubakizia mbili then ndo ana agiza na yeye, na kereka saana.

RAI YANGU.
-- VIBONGE BADILIKENI MNANIKERA SANA.IKIWEZEKANA UNDENI UMOJA WENU MKANYANE.

-- NIMEKASIRIKA SANA HAPA.

--NA SIHITAJI MSAMAHA WENU KATIKA HILI.
sawa tumekusikia; Vip umewahi kutana na kibonge kimwili?
 
Haahahaa..jinsi ulivyoandika hapa inaonesha tu unaishi maisha ya aina ipi...kifupi tafuta hela mkuu ili msiwe mnashare sahani 1 na mabongez!
 
Nimezunguka karibia mikoa yote Tanzania. Kila nilipo pita na kuweka makazi ya muda.
Nilikuwa nakuta na hawa watu wanene maarufu kama VIBONGE (wingi) na Bonge (umoja) ( siyo rasimi, onesigara ata fafanua hapo.)

Sasa hawa Vibonge binafsi wananikera Sana, yaani wote ME na KE , wanatabia zinazo fanana ,kama Uchafu, Uzembe na uvivu, Kula Sana, kujikuna sehemu nyeti au kuweka mikono huko,, kutoa mitusi ovyo hata mbele ya watoto wadogo, dharau na mengine mengi.

Nimekuja kutoa hasira zangu hapa na kuwachana hawa Ndugu zangu Vibonge, kutoka na hii tabia ya kibonge mwanzao ambaye naishi naye hapa kugoma kubadilika.

Yaani akiwa ana swaki limkono loote linajaa povu la dawa ya Meno.

Anatema hovyo ovyo mapovu ya dawa ya Meno,

Anaogea ndoo YEYOTE anayo iona mbele yake.

Machupi chupi yake kuya Acha bafuni NI kawaida ( huyu ni wakike.)

Kuna wakiume naye anatabia hizohizo hapa Jirani yangu,yaani kila nikikutana naye anakuna pumb* na analazimisha kunipa mkono,akiwa anamafua apenga kamasi bila leso,.

Tukienda Kula gengeni anasubiri wewe uagize Kwanza ,kama ni wali Nyama atapiga vifundo kadhaa vya wali na Nyama mbili anakubakizia mbili then ndo ana agiza na yeye, na kereka saana.

RAI YANGU.
-- VIBONGE BADILIKENI MNANIKERA SANA.IKIWEZEKANA UNDENI UMOJA WENU MKANYANE.

-- NIMEKASIRIKA SANA HAPA.

--NA SIHITAJI MSAMAHA WENU KATIKA HILI.
Kwa wanawake hawawezi kukunja miguu wakiwa wanateka maji kisimani
 
Alafu
1.Usiku wanakoroma Sana
2. ni wavivu wavivu wanaweza kukaa na maganda ya matunda/mabaki ya vyakula siku mbili ndani anaona uvivu kuyatoa nje.
3. Wanapenda kupendeza na kuonekana maridad lakin sehemu wanapo ishi ni kuchafu balaa kama jalala, kitanda hajatandika siku 3, friji akifungua inatoa harufu
4. Wana roho mbaya sana na wanapenda ugomvi na visa vya kipumbavu
Mbona mimi hakuna hata moja linalonihusu hapa
 
Alafu
1.Usiku wanakoroma Sana
2. ni wavivu wavivu wanaweza kukaa na maganda ya matunda/mabaki ya vyakula siku mbili ndani anaona uvivu kuyatoa nje.
3. Wanapenda kupendeza na kuonekana maridad lakin sehemu wanapo ishi ni kuchafu balaa kama jalala, kitanda hajatandika siku 3, friji akifungua inatoa harufu
4. Wana roho mbaya sana na wanapenda ugomvi na visa vya kipumbavu
Namba 4 hapana.......wenye roho mbaya ni vimbaumbau mabonge hawanaga roho mbaya
 
Tukiachana na hayo. Vibonge ni watu wazuri sana wacheshi, hawana roho mbaya, pia wengi wao ni watu wa utani sana. Sasa wew mtoa mada utakua umekonda kama miwa ya kilosa na ni wivu tu unakusumbua. Vibonge wengi hawana tatizo na mtu.
 
Back
Top Bottom