A
Anonymous
Guest
Mimi ni dereva wilayani rombo imetokea kero ya askari polisi kitengo cha usalama barabarani kukamata madereva wasio na uhakiki wa leseni wanakamata gari wanapeleka kituoni kitu kinachosababisha usumbufu kwa abiria na wasafiri wanaotoka na kuingia wilayani rombo....
Ninaomba mamlaka husika ziangalie hili suala linalosababisha kero kubwa kwa wasafiri kipindi hiki cha watu wanataka kurudi makazini kwao...
R.T.O tunaomba tusaidie kwenye hili waweke utaratibu mzuri wa uhakiki kwani ata uko mkoani wanakohakiki jam ni kubwa pia usafir wa kwenda ni shida