Kero ya kuchelewa kuhuishwa kwa kadi za NHIF kwa wanafunzi wanufaika wa Mkopo toka HESLB.

jodac

JF-Expert Member
Apr 9, 2014
280
269
Habari.
Naomba kwasilisha kero wanayopitia baadhi ya wanafunzi wanufaika wa mkopo unaotolewa na HESLB ambapo hela kwaajili ya kadi za bima ya afya kwenye akaunti zao inaonyesha wameshalipia lakini kadi haziko activated.

CHANZO CHA TATIZO
Kosa linalofanywa na HESLB ni kulipa hela hii moja kwa moja chuoni badala kulipa kwenye akaunti namba ya NHIF.
Hiisidhani kama inafanywa kwa bahatimbaya bali nikutengeneza mianya ya kudhulumu haki za wanafunzi maana basi kama ni hivyo kwann wasinge mpa mwanafunzi Fees alafu yeye akilipe chuo ada yake?

PENDEKEZO
Kwakuwa dhumuni la kulipa ada moja kwa moja ni kuepusha mwanafunzi kula ada basi mjue pia upande wapili ambao mliwaaamini nao wanazikua hizi hela za NIHIF .
HESLB lipeni hela hizo moja kwa moja NHIF kuepusha usumbufu kwa wanfunzi walio baadhi ya vyuo ambavyo watendaji sio waaminifu.
 
Back
Top Bottom