mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 6,911
- 5,325
Kwani mimi nimesema ni ofisi gani?! Ni ya umma lakini mimi ndo nipo humo. Unataka nikae iddle tu?!
Nafungulia kwaya tena zile za kuabudu ila kwa sauti ya kawaida, na wateja huwa wanabarikiwa tu.
Inabidi utumbuliwe haraka sana. Watu wa namna yako wanaojifanya wanapenda dini ni wanafiki sana katika jamii. Nina mashaka sana na utendaji wako kazi, uko shirika gani, na kitengi gani? Lazima nikushughulikie haraka sana.