Kenyatta, Kagame call EAC member state to open up borders

Kama Kenya na Rwanda wakiwa na sera nzuri za kutengeneza kazi kwaajili ya wananchi wao wasingepoteza muda mwingi kufikiria nchi gani itatoa ajira za wananchi wao. Ni muda muafaka kwa nchi zetu kufikiri zaidi jinsi gani tunaweza badili mfumo wetu wa elimu na kuzalisha vijana wasiosubiri kuajiriwa. Vyuo vyetu vifunguke zaidi na kuangalia nini kinanendele nje ya chuo. Wakufunzi na wahadhiri wetu waache kutumia vitini (lecture notes) za miaka kumi iliyopita, wabadilike kulingana na dunia iendavyo ili kunusuru jamii yetu.
 
Hao coalition of the frustrated (COF) wamefanya impact assesment ya huo umoja wao wameona hakuna kitu.Haujatatua tatizo lao kubwa la ajira na ardhi udenda unawatoka kila wanapokutana wanaota Tanzania.Kwamba laiti tanzania ingefungua milango ya ajira na ardhi walau wangepata pa kupumulia.

Uliza watusi na wahutu wangapi wamepata ajira na ardhi kwa wakikuyu na wajaluo wa kenya halafu uliza wakikuyu na wajaluo wangapi wamepata ajira na ardhi kwa wahutu na watusi wa Rwanda.Ni umoja wa mashaka uliojaa ukabila kila upande ambao hauko willing kuanchia ajira na ardhi kwa kabila lingine ndani na nje ya nchi zao.

Wanajua ni tanzania tu ndio yaweza toa ajira na ardhi bila kujali kabila la mtu awe wa nchini au nje.Wanalilia tanzania hao coalition of the frustrated.(COF)

Hata ukiangalia nyuso zao kwenye picha wanaonyesha wako frustrated.

JOMO KENYATTA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY RWANDA
20140215_115523-e1394031129238.jpg


MT. KENYA UNIVERSITY RWANDA

MKU-Logo1.jpg


EQUITY BANK RWANDA
equity+rwanda.jpg


KENYA COMMERCIAL BANK RWANDA
kcb.jpg


NAKUMATT RWANDA
IMGP5460.JPG


WATZ JAMENI WIVU NA FEDHEHA TUPU...........................................
 
Tatizo hawa jamaa hata kabla ya kufungua milango tayari wameshavamia na kujipenyeza mwisho wa siku nchi zingine zitakapokubali wao tayari wana uzoefu na kujihalalisha, kuna Wakenya kibao na Wanyarwanda hasa maeneo ya Mwanza tayari wanaishi kinyume cha taratibu kama Watz na wana enjoy maisha kwahiyo once tukipitisha tu tayari wao watakuwa na pa kuanzia
 
Tuwapebwatu wetu elimu bora. tuandae wajasiria mali wengi zaidi. tukivuka hapo tutashindana vema.
 
Hawa watu hawana mbio ndefu.hapo kesho tu tutaanza kushuhudia vita ya Uhuru na Pk.
 
Back
Top Bottom