Kenyatta aahidi elimu bure Kenya

Siasa bwana, wakati Mwalimu akitoa elimu bure walisema eti ni ujamaa sasa nao wanaelekea huko huko! Kibaya zaidi waliomkashifu Mwalimu wengine wako hapa hapa na walijilinganisha na Kenya! R.I.P Mwalimu.

cc: Waliobinafsisha elimu!
Siasa
 
Leo hii tunaongea mambo ya watoto kupewa laptops za bure kila wanapoingia shuleni.
Bajeti kwa ajili ya elimu ya bure 2014/2015 ilikua Kshs 40b (TZS 920B).
Mitihani ya kitaifa yaani, ya msingi KCPE na ya sekondari KCSE ni bure hailipiwi tena.
Wanafunzi wanaojiunga na hizi shule wameongezeka kwa asilimia 10% tangu 2013.

Halafu walimu Kenya hulipwa na serikali sio shule, mwalimu wa shule ya msingi wa kiwango cha chini analipwa TZS 600,000
Na kwenye mitihani ya kitaifa, tunaona shule za umma zinafanya vizuri sana.
Aseee
 
elimu bure ambayo haina kiwango kila siku mnabadili mitaala,mtoto anamaliza la saba bila kujua kusoma na kuandika ujinga kama huu hapa chini ndio mafanikio ya elimu bure
upload_2017-5-18_11-38-20-png.510968
upload_2017-5-18_11-39-36-png.510970
Aseee naona swanglish katika ubora wake !!!
 
elimu bure ambayo haina kiwango kila siku mnabadili mitaala,mtoto anamaliza la saba bila kujua kusoma na kuandika ujinga kama huu hapa chini ndio mafanikio ya elimu bure
upload_2017-5-18_11-38-20-png.510968
upload_2017-5-18_11-39-36-png.510970
Mkuu kwenye hiyo Picha kuna makosa gani hapo tuelimishane basi
 
donkey ni wild animal??soma vizuri tu utaelewa kama ulisoma vizuri kiingereza hata kwa level ya olevel,tafuta kunauzi uliwekwa hapa namdau
 
Wapo punda wanaofugwa na wasiofugwa, hapo inategemea mwandishi alilenga punda wapi!

Hata hivyo, sio vizuri kutumia mifano yenye utata kwa watoto wadogo maana akili yao haijatosha kukabiliana na mambo kama haya yenye ukinzani!
 
hivi mtoto wa singida,shinyanga,manyara,dodoma watakuelewa ukiwaambia punda ni mnyamapori mbona paka wapo wasio fugwa na wanao fugwa
 
Soma aya ya mwisho niliyoandika ina jibu la swali lako
 
Leo hii tunaongea mambo ya watoto kupewa laptops za bure kila wanapoingia shuleni.
Bajeti kwa ajili ya elimu ya bure 2014/2015 ilikua Kshs 40b (TZS 920B).
Mitihani ya kitaifa yaani, ya msingi KCPE na ya sekondari KCSE ni bure hailipiwi tena.
Wanafunzi wanaojiunga na hizi shule wameongezeka kwa asilimia 10% tangu 2013.

Halafu walimu Kenya hulipwa na serikali sio shule, mwalimu wa shule ya msingi wa kiwango cha chini analipwa TZS 600,000
Na kwenye mitihani ya kitaifa, tunaona shule za umma zinafanya vizuri sana.

So, if that's the case... unamuonaje President Uhuru, is he fitting au mnahitaji mabadiliko? Ninahitaji mtazamo wako bila kujali wewe unamshabikia nani...
 
Kwanza ifahamike nchi yetu tunafuata ruwaza 2030 ya taifa, iliandaliwa kitaalam na kizalendo na kila kiongozi ajaye anahitajika kutekeleza shughuli zake kwa kuizingatia hii ruwaza. Hivyo rais Uhuru anachokifanya ni kufuata yaliyo andaliwa awali yake.
Kwa mtazamo wangu binafsi, nimesema binafsi kabla hawajaja wengine kunikomoa...naona tunamhitaji amalize kazi aliyoanzisha, kwa kweli ametuangusha kwenye vita dhidi ya ufisadi, japo pia kama ninavyowafahamu Wakenya, hatupo tayari kwenye hivi vita. hatua zikichukuliwa, viongozi wanakimbilia wafuasi wao na kulilia huko, nawaza hapa leo hii Uhuru akamfuta naibu wake Ruto kwa sababu za ufisadi.
 
Okay! I can understand. Hata Tanzania sio kila mtu anapenda kile anachofanya Magufuli...
 
So, if that's the case... unamuonaje President Uhuru, is he fitting au mnahitaji mabadiliko? Ninahitaji mtazamo wako bila kujali wewe unamshabikia nani...

Ungejua siasa za Kenya wala usingejisumbua, huyu unayemuuliza swali ni Mkikuyu na Uhuru ni Mkikuyu lazima amuunge mkono. Ukimuuliza Mjaluo atasema Uhuru hafai.
 
Nilitaka kujua mtazamo wake, apart from being Uhuru's supporter...
 
Back
Top Bottom