Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
Lol look at the giant of africa terminus...
Na pia, kwanini Kenya inajitapa kwa kujengewa reli na wachina? Kama wao ni mighty wa EA mbona hawaku afford kujengewa na mjerumani au muingereza? Wao miaka ya 70 hawaku jihusisha kwa lolote na mchina. Leo imekuaje au umasikini umewakimbiza kwa mchina!Mkumbushe kuwa tayari wachina wamepewa kazi ya kupanua bandari ya dar! Deal imeshasainiwa!
Anatafuta wa kumchamba na kumtawadha..lugha chafu naijua we mwache ataita Mods muda si mrefu..Mpuuzi sana! Yeye ana behave kama anaugomvi na watanzania. Labda choko mtoto wa mombasa!
Mchina ashawaweka kati hawawez kufurukuta tena! Ndo maana hata hawataki kuskia kuwa wamepigwa! Kisa tu ni kitu hakikuwepo na wamekipata ndo bas tena!Na pia, kwanini Kenya inajitapa kwa kujengewa reli na wachina? Kama wao ni mighty wa EA mbona hawaku afford kujengewa na mjerumani au muingereza? Wao miaka ya 70 hawaku jihusisha kwa lolote na mchina. Leo imekuaje au umasikini umewakimbiza kwa mchina!
Hata kama Jubilee ilifyeka part ya fedha ya hii sgr yetu watu fulani wanavyodai- na ninaamini kweli kuna part of that money iliporwa in a way.....at least wamefanya sumthin substantial, hata macritics kwa upande fulani wanaweza kukubali. Lakini hii ya Nigeria bana. Haiwezekani hiyo kuwa 12bn$.
Pesa zilipunjwa hapo vinoma.
Mkopo unaoleta uhalisia hauwezi kupigiwa kelele! Kinachoongelewa na hao ulowataja ni ile tabia yenu ya kutokubali kuwa kwenye mikopo ya mchina mlopewa hasa ya sgr watu wamepiga cha juu kweli kweli
The point is, hizo mijengo are not worth the money.Reli iliyojengwa tayari Abuja-Kaduna ni km 187 na thamani yake ni US$876m. Hiyo US$12b ni kwa mradi wote Lagos-Kano. Sasa hivi wanajenga kipande cha Lagos-Ibadan (km 156) kwa gharama ya U$1.53b.
Mkopo unaoleta uhalisia hauwezi kupigiwa kelele! Kinachoongelewa na hao ulowataja ni ile tabia yenu ya kutokubali kuwa kwenye mikopo ya mchina mlopewa hasa ya sgr watu wamepiga cha juu kweli kweli
The truth is,mmeibiwa na wachina,over!Haijalishi hata kama aliyejenga ni kiumbe kutoka sayari nyingine, cha msingi tunayo reli ya kisasa na muundo mbinu ambao haupo kwenye nchi yoyote ya EAC na Afrika ya Kati. Leo hii Waganda, Wanyarwanda, Wasudani, Warundi, Batoto ba Kongo na hata Watanzania wameanza kufuata mizigo yao Nairobi badala ya safari yote ya kwenda hadi Mombasa. Tumefupisha safari kwa kilomita mia tano na tunaendelea na ujenzi wa awamu ya pili ili kuwakaribia zaidi.
Nye hapo bado mnawaza mambo ya makinikia ambayo mumepigwa kizembe zembe kwa miaka yote hii.
Tuñaenda na vyote,SGR na Makinikia,alafu nynyi wakenya,hamtumii akili,mnapaswa kuelewa kwamba,na sisi tunajenga ya kwetu,na sio nyinyi tu,acheni wivu,mnatamani kila kitu kiwe kwe nu tu,wengine tunaabir vitu vyetu vya sgr baby, waswahili bado wanapambana na makinika!!![]()
![]()
View attachment 523133
Eurobond interest rate yenu ni nearly double digits, for us at 6% we declined we wait till 3%! That's Magu for u..Ndio zenu, huwa mnapindisha pindisha ili kuimba nyimbo za CCM, mnafuata mkumbo na kusifia kila kitu wanachosifia na kuponda kila wanachokiponda.
Madeni mnaendelea kujiongezea wakati mlikua mkitupigia makelele ya debt to GDP, leo hii mkiulizwa mnasema yenu ina tija eti yetu ndio ya ovyo, halafu huu wimbo wa kwamba tulipigwa na Wachina mlikaririshwa na CCM ili msihoji wanachokifanya. Mpo watu rahisi sana wa kuendeshwa endeshwa maana nyote hufuata mkumbo na kutiririka kwa pamoja kiajabu ajabu na ndio maana mumepigwa miaka yote hii kwenye madini, yaani ni aibu sana kwenu nyie kuchekelea Kenya wakati jameni niliona ripoti mumepigwa kizembe zembe $35B, zaidi ya nusu ya GDP yenu. Mpo watu wa ajabu sana nyie.
Nimeomba siku zote ajitokeze Mtanzania tujadili kitaalam adhihirishe tumepigwa kivipi kwenye reli, lakini hakuna anayethubutu, huwa mnaimba kama mazombi tu, ooh Wakenya wamepigwa..... Mjifunze kujadili kitaalam kama kweli kuna baadhi yenu wamefaulu kuingia darasa la shule.
Tuñaenda na vyote,SGR na Makinikia,alafu nynyi wakenya,hamtumii akili,mnapaswa kuelewa kwamba,na sisi tunajenga ya kwetu,na sio nyinyi tu,acheni wivu,mnatamani kila kitu kiwe kwe nu tu,.
Hiyo thread uliyoanzisha kuomba mjadala wa kina iko wapi?Ndio zenu, huwa mnapindisha pindisha ili kuimba nyimbo za CCM, mnafuata mkumbo na kusifia kila kitu wanachosifia na kuponda kila wanachokiponda.
Madeni mnaendelea kujiongezea wakati mlikua mkitupigia makelele ya debt to GDP, leo hii mkiulizwa mnasema yenu ina tija eti yetu ndio ya ovyo, halafu huu wimbo wa kwamba tulipigwa na Wachina mlikaririshwa na CCM ili msihoji wanachokifanya. Mpo watu rahisi sana wa kuendeshwa endeshwa maana nyote hufuata mkumbo na kutiririka kwa pamoja kiajabu ajabu na ndio maana mumepigwa miaka yote hii kwenye madini, yaani ni aibu sana kwenu nyie kuchekelea Kenya wakati jameni niliona ripoti mumepigwa kizembe zembe $35B, zaidi ya nusu ya GDP yenu. Mpo watu wa ajabu sana nyie.
Nimeomba siku zote ajitokeze Mtanzania tujadili kitaalam adhihirishe tumepigwa kivipi kwenye reli, lakini hakuna anayethubutu, huwa mnaimba kama mazombi tu, ooh Wakenya wamepigwa..... Mjifunze kujadili kitaalam kama kweli kuna baadhi yenu wamefaulu kuingia darasa la shule.
I have no idea the motivation behind this post but it is exceedingly insultingNigerians think they are the best ...Giants of Africa!!! hehehe...they are soo idiotic....true...being brn Nigerian is a curse...also being born in Tz is a curse...those guys are stupid as f**k...
giant of africa=Nigeria
Idiots of africa=Tanganyika