Kenyan punter wins $2.0 mill or £1.6mill!

ngai mwathani...yani hii ninja story yake imechapa u turn mara one tym..walae kuna wasee huwa na kismat mazee
But hakuwa mbaya sana

Anajua fluent mandarin (chinese) anafanyia wachina kazi

Ana sponsor Mtoi Dominican republic High school ako na Daughter Nairobi Na ni Wifeless ....Mungu amemjibia maombi meehn!
 
Tatizo la kamari ukianza haauchi, bado atafuata akitaka kuendelea na hapo ndio wataanza kurejesha vihela vyao. Kama ana akili asepe kabisa, yaani asahau mambo ya kamari kama alivyosahau matiti ya mama yake. Aingie kwenye biashara ya ujenzi wa majengo mjini na kula hela yake kama ametulia, asiingie kwenye mihemko ya aina yoyote, kwanza bado kijana...
Akiendelea ni fala si kwa ubaya

10million shillings can change ur life in Kenya 2.24mn$ is how u live without work for the rest of urlife

Last year i was able to visit some farmers down south and i was suprises if this guy is really up for it aende Eldoret Nakuru ama Narok and Buy 100 acres of Land aanze ukulima proper ....

To put what am saying into perspective:

An irrigated farm in South Africa planting Tomatoes produces
50-60 tonnes of Tomatoes every season PER acre

1tonne = 907.18 kgs

Aki chukua hata 50 acres aweke under tomatoes ama onions ama Dairy at less than 30m
Achimbe borehole etc

This guy could literally be earning 80mil every three months bila stress na ako na initial savings za kedo 150mil ....but its kenya

Simuombei Mabaya but

2020 nikiskia kwa TV eti from rags to riches The story of Akisai hata mungu mwenyewe hatofurahishwa na huo ujinga ...this is why i normally dont pity this athletes who bag 100mn yearly alafu wakivunjika mguu wanarudi kwa Uchochole ....but hope he makes a wise decision!
 
Mnajifanya mnajua ya kenya sana mpaka mna boa

Hakuna Tax on gamblers but kwa betting firm yenyewe

Sasa watu hushinda 50-100k weekly basis Wanataxiwa na nani??

Hyo ya bank ni mengine ....
Sam, hivi wewe unalipa kodi huko Kenya?? Maana nadhani hulipi. Nimesema he won't be given cash at hand, atapewa cheque. Kokote atakapo ipeleka (well not Dubai or other tax heaven which you only pay 1% tax) serikali ya huko watakula capital gains tax. In Kenya lazima kila mwaka useme kwenye self declaration form how much umepata that year. Unafikiri yeye atasema amepata Zero?? With all this publicity??
 
Akiendelea ni fala si kwa ubaya

10million shillings can change ur life in Kenya 2.24mn$ is how u live without work for the rest of urlife

Last year i was able to visit some farmers down south and i was suprises if this guy is really up for it aende Eldoret Nakuru ama Narok and Buy 100 acres of Land aanze ukulima proper ....

To put what am saying into perspective:

An irrigated farm in South Africa planting Tomatoes produces
50-60 tonnes of Tomatoes every season PER acre

1tonne = 907.18 kgs

Aki chukua hata 50 acres aweke under tomatoes ama onions ama Dairy at less than 30m
Achimbe borehole etc

This guy could literally be earning 80mil every three months bila stress na ako na initial savings za kedo 150mil ....but its kenya

Simuombei Mabaya but

2020 nikiskia kwa TV eti from rags to riches The story of Akisai hata mungu mwenyewe hatofurahishwa na huo ujinga ...this is why i normally dont pity this athletes who bag 100mn yearly alafu wakivunjika mguu wanarudi kwa Uchochole ....but hope he makes a wise decision!
Bila shaka 5 yrs later atakuwa ametengeneza pesa nzur sana.
Ni vyema pia akapata mchumi/mjasiliamali ili kumwelekeza ktk mawazo yake ya maendeleo coz lazima ata decide kuanza na business yenye capital kubwa
 
But hakuwa mbaya sana

Anajua fluent mandarin (chinese) anafanyia wachina kazi

Ana sponsor Mtoi Dominican republic High school ako na Daughter Nairobi Na ni Wifeless ....Mungu amemjibia maombi meehn!
hii sasa ndo mlikuwa mnaskiaga ikiitwa nyota ya rehema..yani unalala unaamka ukiwa millionaire...but kila msee na siku yake..
 
Sam, hivi wewe unalipa kodi huko Kenya?? Maana nadhani hulipi. Nimesema he won't be given cash at hand, atapewa cheque. Kokote atakapo ipeleka (well not Dubai or other tax heaven which you only pay 1% tax) serikali ya huko watakula capital gains tax. In Kenya lazima kila mwaka useme kwenye self declaration form how much umepata that year. Unafikiri yeye atasema amepata Zero?? With all this publicity??
Amesema kama KRA Ita mtax on winning sio kama Bank na KRA na nn....akikataa kuweka pesa kwa benki nani atakuja kumlazimu?
 
Bila shaka 5 yrs later atakuwa ametengeneza pesa nzur sana.
Ni vyema pia akapata mchumi/mjasiliamali ili kumwelekeza ktk mawazo yake ya maendeleo coz lazima ata decide kuanza na business yenye capital kubwa
True Big business give out bigger income
 
Back
Top Bottom