Kenyan Elections 2007: End Of An Era (error?)

Hao wengi mbona hawapigi kura au si wakenya ni waganda? Hivi vitimbi vyake ndo vinampotezea kura. Kwa sarakasi Raila yupo sawa. Lakini hakuna anayemuamini ikifika kwenye uongozi. Alikuwa na miaka yake mitano ya kufanya kazi kama waziri mkuu, lakini hakuna kipya tulichokiona kando na kulialia kuhusu mkate nusu mara mkeka nusu na kuwabebesha 'security detail' wake choo kila alipoenda kwenye mazishi.
Raila kafanyiwa sabotage wewe, acha kujifanya hulioni hilo, kisa unatokea central.
 
Back
Top Bottom