Kenya yapiga marufuku uchimbaji wa Tanzanite, zilikuwa zinauzwa kiharamu Tanzania

Tanzanite iko Kenya kwa sababu tunapakana nayo
.
Akili nyingine mzigo
Sensor sijakuelewa unaposema akili mzigo. Kiukweli wewe umechemka haya madini hayana jina jingine zaidi ya tanzanite na hapa Africa yanapatikana Tanzania pekee tangu kutumbuliwa na de. Souza mwaka 1967 kama sijakosea hii habari ni kupotosha watu maana hakuna tanzanite kenya.
 
Ni huyo mleta mada ndiyo nilikuwa namjibu kama anavyotaka yeye kutuaminisha kwamba Tanzanite iko Kenya.
Hii ni kama ile ya Mt. Kilimanjaro iko Kenya
 
ha ha ha ha ha aaaa wonders shall never end!!!Eti kenya nao wana Tanzanite!!!
 
Serikali ya Kenya imepiga marufuku uchimbaji wa madini ya Tanzanite na biashara yake Loita, kamishna wa Narok amesema wachimbaji walikuwa wanachimba bila vibali na wafanyabiashara wasio waaminifu walikuwa wanaziuza kiharamu nchini Tanzania.

=========
Kuna watu wakiona hii habari watachanganyikiwa, kila siku huwa nasema nchi yetu haina upekee wowote ule kila tulicho nacho wengine pia wanacho tumelishwa propaganda miaka yote kwamba nchi yetu ni tajiri Afrika nzima, haya Kenya nao kumbe wana Tanzanite habari hiyo hapo chini!
Kila nchi ina Rasilimali na siyo nchi yetu tu, tofauti ni jinsi unavyoitumia hiyo Rasilimali kujinufaisha!
Kama ndivyo basi haya madini hayapaswi kuitwa Tanzanite. yatafutiwe jina la general tu kama ilivyo almasi na dhahabu
 
Kenya wana Tanzanite? How? That ornament mineral, if exists, should be Kenyanite or something else but not Tanzanite. Ni yale yale ya Mlima Kilimanjaro uko Kenya chezeni na hawa jamaa.
uko sawa sasa wanajidai wanayo tanzanite ili waendelee kuwaibia wabongo.
 
Ni huyo mleta mada ndiyo nilikuwa namjibu kama anavyotaka yeye kutuaminisha kwamba Tanzanite iko Kenya.
Hii ni kama ile ya Mt. Kilimanjaro iko Kenya
Nimekuelewa mkuu. Humu ndani watu wanakopi na kupaste hata kama ni ujinga mkuu. kaona andiko katika mitandao bila kufanya utafiti wa kwake kaleta hapa jamvini na ukizingatia hapa kila kitu watu wanakibadilisha kua siasa basi comments nyingi hazina hata miguu. Bora kwa kumwelewa hivyo mtoa mada
 
Serikali ya Kenya imepiga marufuku uchimbaji wa madini ya Tanzanite na biashara yake Loita, kamishna wa Narok amesema wachimbaji walikuwa wanachimba bila vibali na wafanyabiashara wasio waaminifu walikuwa wanaziuza kiharamu nchini Tanzania.

=========
Kuna watu wakiona hii habari watachanganyikiwa, kila siku huwa nasema nchi yetu haina upekee wowote ule kila tulicho nacho wengine pia wanacho tumelishwa propaganda miaka yote kwamba nchi yetu ni tajiri Afrika nzima, haya Kenya nao kumbe wana Tanzanite habari hiyo hapo chini!
Kila nchi ina Rasilimali na siyo nchi yetu tu, tofauti ni jinsi unavyoitumia hiyo Rasilimali kujinufaisha!
Hii comment yako ya mwisho imeonyesha kuwa wewe ni mtu wa ku copy na ku paste bila kufanyia utafiti, kwa taarifa yako hakuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania yenye Tanzanite kwa africa kama unaijua leta uthibitisho hapa siyo hizi habari za mitandao unazozisoma na kuleta hapa. Ngoja tu nikusaidie madini ambayo wakenya wanayo yanaitwa tsavorite na yanapatikana kati ya mpaka wa Tanzania na Kenya. lakini Tanzanite ni moja tu na ni ya mererani. picha hapo chini ya juu ni tanzanite na ya chini ni tsavorite. Usiandike upuuzi huu tena ndugu yangu
upload_2016-6-3_11-10-47.png

upload_2016-6-3_11-9-48.png
 
HAPANA HIZO NI ZILE PROPAGANDA ZAO TUU.... MADINI YA TANZANITE MPAKA SASA HAKUNA MAHALI PENGINE YAMEGUNGULIWA... SOMA VITABU
 
Mbona wewe ni mgumu kuelewa hivyo? Tanzanite ni aina ya madini yaliyoko chini ardhi, huko chini hakuna mipaka ya nchi, miamba haijui Kenya wala TZ hivyo madini yaliyoko TZ yatakosakanaje Kenya wakati tunashea mpaka?

KAKA ACHA KUTUDANGANYA EMBU TAFUTA NCHI ZINAZOCHIMBA DHAHABU UTAPATA NYINGI TU, ILA TANZANITE MPAKA SASA NI TANZANIA TU
ACHA PROPAGANDA AMBAZO HUJAZIFANYIA UTAFITI
 
Kama ndivyo basi haya madini hayapaswi kuitwa Tanzanite. yatafutiwe jina la general tu kama ilivyo almasi na dhahabu

Kumbuka kwamba Tanzanite ni jina la aina fulani ya madini yenye tabia fulani ambayo kabla ya kugundulika bado yalikuwepo sema yalikuwa hayaitwi tanzanite, kipya ni kwamba aliyeyagundua kaamua kuyaita Tanzanite kama heshima ya mahali na nchi yalipogunduliwa, hivyo basi haimaanishi kwamba hayapo sehemu nyingine!

Nitakupa mifano kuna madini mengi maarufu hasa kwenye microelectronic yanaitwa Germanium ambayo ni kama vile Silicon sasa kwa nini yanaitwa Germanium ni kwa sababu aliyeyagundua wa kwanza kama vile Tanzanite alitaka kuyapa jina kwa heshima ya nchi yake lkn haimaanishi kwamba Germanium inapatikana Ujerumani tu?
Hata TanZania tuna Germaniun pia na haturuhusiwi kuyaita jina lingine lolote isipokuwa Germanium, kwanza nchi yenye Germanium nyingi siyo Ujerumani na hata top 10 ya wazalishaji wa Germanium Duniani hawamo, vivyo hivyo Tanzanite kama tungekuwa na akili tusingepinga nchi nyingine kuita madini yenye sifa na tabia kama Tanzanite bali tungepromote iwe hivyo lkn kama tukipinga ina maana kwa mfano Kenya watatafuta jina lao na kulipromote hilo jina hivyo kuleta ushindani kwa Tanzanite wakati ni madini yale yale sijui kama nimefanikiwa kuliezea hilo, kwamba hakuna tatizo lolote lile kwa nchi ya Colombia au Tibet kuita madini yeye tabia na sifa kama za Tanzanite, Tanzanite ndicho ninachotaka kukiwasilisha!
 
Kumbuka kwamba Tanzanite ni jina la aina fulani ya madini yenye tabia fulani ambayo kabla ya kugundulika bado yalikuwepo sema yalikuwa hayaitwi tanzanite, kipya ni kwamba aliyeyagundua akaamua kuyaita Tanzanite kama heshima ya mahali na nchi yalipogunduliwa, hivyo basi haimaanishi kwamba hayapo sehemu nyingine!

Nitakupa mifano kuna madini mengi maarufu hasa kwenye microelectronic yanaitwa Germanium ambayo ni kama vile Silicon sasa kwa nini yanaitwa Germanium ni kwa sababu aliyeyagundua wa kwanza kama vile Tanzanite alitaka kuyapa jina kwa heshima ya nchi yake lkn haimaanishi kwamba Germanium inapatikana Ujeruamani tu?
Hata TanZania tuna Germaniun pia na haturuhusiwi kuyaita jina lingine lolote isipokuwa Germanium, kwanza nchi yenye Germanium nyingi siyo Ujerumani na hata top 10 ya wazalishaji wa Germanium Duniani hawamo, vivyo hivyo Tanzanite kama tungekuwa na akili tusingepinga nchi nyingine kuita madini yenye sifa na tabia kama Tanzanite kuitwa Tanzanite bali tungepromote iwe hivyo lkn kama tukipinga ina maana kwa mfano Kenya watatafuta jina lao na kulipromote hilo jina hivyo kuleta ushindani kwa Tanzanite wakati ni madini yale yale sijui kama nimefanikiwa kuliezea hilo, kwamba hakuna tatizo lolote lile kwa nchi ya Colombia au Tibet kuita madini yeye tabia na sifa kama za Tanzanite Tanzanite ndicho ninachotaka kukiwasilisha!
EMBU TULETEE UTAFITI AMA LIST INAYOTAJA NCHI ZINAZOCHIMBA TANZANITE JAMAA, EMBU INGIA GOOGLE UZILETE HAPA ACHA uongo.....
 
KAKA ACHA KUTUDANGANYA EMBU TAFUTA NCHI ZINAZOCHIMBA DHAHABU UTAPATA NYINGI TU, ILA TANZANITE MPAKA SASA NI TANZANIA TU
ACHA PROPAGANDA AMBAZO HUJAZIFANYIA UTAFITI

Sababu ni rahisi sana, hakuna nchi nyingi zinazochimba Tanzanite siyo kwa sababu hakuna Tanzanite madini yenye sifa na tabia za Tanzanite sehemu nyingine bali sababu ni kwamba soko lake ni dogo hivyo hailipi kuwekeza fedha nyingi kwenye Tanzanite, thamani ya Tanzanite kwa Dunia nzima ni USD 500 million, sasa hii ni fedha kidogo sana kuweza kuyafanya makampuni makubwa na ya kimataifa kuwekeza hii ndiyo sababu lkn haimaanishi kwamba hayapatikani sehemu nyingine Duniani!
 
EMBU TULETEE UTAFITI AMA LIST INAYOTAJA NCHI ZINAZOCHIMBA TANZANITE JAMAA, EMBU INGIA GOOGLE UZILETE HAPA ACHA uongo.....

Nimekwisha kwambia narudia tena, soko la Tanzanite ni dogo sana kuweza kufanya nchi mbali mbali kuwekeza kwenye kuyatafuta ni milioni 500 (US) tu Dunia nzima hivyo hailipi, ndiyo sababu!
 
so what is the story really? je ya Tanzania itashuka bei?
Je yetu imeisha?
Is Kenya having Tanzanite mining a big deal? we have Diamonds, Uranium, Coal, NaGAS, Big games, Highest mountain in Africa, Great lakes, Rivers and 50M people,
Then we have poor education, poor health system, poor infrastracture, poor industrial development, high unemployment rate, weak currency.....you name it..... where are we? Where is Kenya? want to complain? go get a grief man.
The Big deal hapa ............. ni zile Propaganda tulizokuwa tunapewa kila siku kuwa Tanzanite iko Tanzania tu!!
 
Hii comment yako ya mwisho imeonyesha kuwa wewe ni mtu wa ku copy na ku paste bila kufanyia utafiti, kwa taarifa yako hakuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania yenye Tanzanite kwa africa kama unaijua leta uthibitisho hapa siyo hizi habari za mitandao unazozisoma na kuleta hapa. Ngoja tu nikusaidie madini ambayo wakenya wanayo yanaitwa tsavorite na yanapatikana kati ya mpaka wa Tanzania na Kenya. lakini Tanzanite ni moja tu na ni ya mererani. picha hapo chini ya juu ni tanzanite na ya chini ni tsavorite. Usiandike upuuzi huu tena ndugu yangu
View attachment 353273
View attachment 353271

Ndugu kama ungekuwa na akili na kweli unaipenda nchi yako basi ungepinga madini hayo kuitwa Tsavorite na badala yake yaitwe Tanzanite na haijalishi yanapatikana wapi, kama kweli una uwezo wa kufikiri sana, kuyaita madini yenye sifa kama Tanzanite jina lingine hiyo ndiyo sabotage ambayo tunapaswa kuipinga kama kweli tuna elewa hata tunachofanya na Dunia inavyokwenda, na siyo kinyume chake!
 
Sababu ni rahisi sana, hakuna nchi nyingi zinazochimba Tanzanite siyo kwa sababu hakuna Tanzanite madini yenye sifa na tabia za Tanzanite sehemu nyingine bali sababu ni kwamba soko lake ni dogo hivyo hailipi kuwekeza fedha nyingi kwenye Tanzanite, thamani ya Tanzanite kwa Dunia nzima ni USD 500 million, sasa hii ni fedha kidogo sana kuweza kuyafanya makampuni makubwa na ya kimataifa kuwekeza hii ndiyo sababu lkn haimaanishi kwamba hayapatikani sehemu nyingine Duniani!
Ukiacha Kenya Tanzanite inapatikana wapi tena boss
 
Yanaweza yakapatika popote pale Duniani hata kwenye Sayari Mars sema kama nilivyokwishandika ni kwamba thamani ya soko la Tanzanite ni dogo sana Duniani kuweza kuwekeza fedha nyingi kuyazalisha na ndiyo maana unaona mpaka sasa hakuna utafutaji wake mkubwa, thamani yake Duniani ni dola za Kimarekani miloni 500 tu na hii ni soko lake Dunia nzima sasa linganisha na dhahabu thamani ya mgodi wa Buzwagi peke yake ulioko Kahama ni milioni 300 USD nafikiri labda unapata picha ya tofauti na ndiyo maana Dhahabu iko sehemu nyingi kwa maana inalipa kuitafuta!

Sasa tunachopaswa kufanya sisi kama nchi ni kuwekeza kwenye utafiti wa haya madini na labda tunaweza kugundua matumizi mengine ya tanzanite mbali na urembo labda yangeweza kutumika kwenye kutengezea microelectronics au space vehicle hapo sasa ndiyo thamani ingepanda lkn inahitaji uwekezaji mkubwa kwenye Research & Development ya haya madini!
 
Dooo!! Unaandika sana
 
Back
Top Bottom