Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,427
- Thread starter
- #21
Haijalishi kama alikuwa yeye ama Mkapa, lakini hoja ni, Raisi wenu mmoja alikaa na Kina Kibaki, Museveni na Kagame wakakubaliana, ndio maana bunge la EAC likaja Tanzania, mbona unajifanya huelewi haya mambo??Kikwete hajawahi kukubali Tz kuwa EAC, unaongea kama mtoto wa darasa la tatu, go back to your history class,