Kama wameiba Equity hawawezi shindwa kuiba NMB /CRDBSoma heist ya Central bank of bangladesh iliyotokea mwaka 2016. Utajua watu wa IT hawashindwi kitu.
Wakiamua kuiba hela huwezi kutrack. Maana software za IT zinazotumiwa na ma bank ni za wamarekani.
Kuna wezi Wana connection mpaka Oracle na SAP huko , hivyo watu wa IT wa bongo na degree zao za udsm hawawezi kuwazuia kuiba
Na kesi kama hizi unakuta wanakamatwa wa chini MD anachomokaSasa hapo sijajua wataalamu hii ngoma inaishia tu kumfukuza kazi MD tu au kuna hatua nyingine za kisheria zinafuata pamoja na kuwashitaki jopo lote mana mpunga mkubwa sana umepigwa
Uzuri pesa za benki ziko insured against burglary au Cyber, wanalipia insurance pesa nyingi so, hapo ni wakati wa insurer kuingia mfukoniSasa hapo sijajua wataalamu hii ngoma inaishia tu kumfukuza kazi MD tu au kuna hatua nyingine za kisheria zinafuata pamoja na kuwashitaki jopo lote mana mpunga mkubwa sana umepigwa
KAMA movie vile! Benki ya Equity nchini Kenya imeripoti kuibiwa kwa zaidi ya Shilingi za Kenya Bilioni 1.5 sawa na Shilingi za kitanzania Bilioni 30.Tukio hilo la aina yake liliripotiwa Julai 10,Mwaka huu.
Katika tukio hilo, miamala 47 ilitumika kuhamisha pesa kwenda kwenye akaunti za mishahara kisha zikahamishwa tena kwenda kwenye akaunti za biashara mpya ambako zilitolewa.
Kiufupi wazee wa IT waliona nafasi na wamejipigia kwelikweli.
Kwa ambao mnajiuliza, Bilioni 30 ni makusanyo ya Mkoa wa Kagera kwa miezi 3,Au bajeti ya wizara ya afya mwaka 2016.
Je benki zetu ziko Salama kiasi gani? Au tuzifungie ndani? Ikumbukwe Equity Kenya ni benki ya pili kwa ukubwa baada ya KCB, nchini Tanzania Equity ni zaidi ya CRDB au NMB
Insurance ni rahisi kulipa watu wakipigwa pesa ndogo ndogo mtu mmoja mmoja.Uzuri pesa za benki ziko insured against burglary au Cyber, wanalipia insurance pesa nyingi so, hapo ni wakati wa insurer kuingia mfukoni
Wabongo wanalia kimyakimya sana. Utawasikia wanalia maumivu pembeni, ukiwaambia wafungue kesi au kulalamika hadharani wanagoma.Wanalia kimyakimya??
😀😀😀😀😀😀😀Soma heist ya Central bank of bangladesh iliyotokea mwaka 2016. Utajua watu wa IT hawashindwi kitu.
Wakiamua kuiba hela huwezi kutrack. Maana software za IT zinazotumiwa na ma bank ni za wamarekani.
Kuna wezi Wana connection mpaka Oracle na SAP huko , hivyo watu wa IT wa bongo na degree zao za udsm hawawezi kuwazuia kuiba
Ubinafsi, roho mbaya na ovu za kishamba zilivyowajaa wamsaidie nani?!Badala wawasaidie vijana sijui wanafeli wapi
Watakosa ushahidi kamili.Sasa hapo sijajua wataalamu hii ngoma inaishia tu kumfukuza kazi MD tu au kuna hatua nyingine za kisheria zinafuata pamoja na kuwashitaki jopo lote mana mpunga mkubwa sana umepigwa
Baba na mtoto wake wamekamatwa. Wote wafanyakazi wa hiyo benki. Mtoto ni meneja ana miaka 39IT peke yake sio rahisi hivyo kuchukua pesa kwenye mfumo imara kama benk, ni kwamba ni connection ya vitengo vingi vimehusika.
Hapa ukipata wakili mzuri unapata mtaji. Asamehe 280M duh watu wana pesaWabongo wanalia kimyakimya sana. Utawasikia wanalia maumivu pembeni, ukiwaambia wafungue kesi au kulalamika hadharani wanagoma.
Wangekuwa wanalia hadharani tu, CRDB ingekosa wateja kwa crisis of confidence.
Hapa nipo na mtu kapigwa zaidi ya milioni 280 kijinga tu, huu mwaka wa pili inaenda anapigwa danadana tu.
Alikuwa anataka kusamehe mpaka namuhimiza afungue kesi.