Kenya secures $3.59 billion from China to extend SGR from Naivasha to Kisumu

Strange!! I thought you aren't donor/aid/mkopo dependent NATION.
Do you people go to school?

USA has a 31trn $ debt half of it Chinese and a 20trn$ economy

FRANCE has a 1.4trn$ debt and a 2.7trn$ economy Tafadhali kama hamjui nyamaza
 
President Uhuru Kenyatta has secured an additional $3.59 billion from China to extend SGR from Naivasha to Kisumu.

Uhuru secured the amount that will be available immediately at a meeting with Chinese President XI Jinping on Monday.

“The President wants the railway to reach Kisumu then Malaba especially because of the new port that is being built [there],” said State House Spokesman Manoa Esipisu.

Before flying to China, Uhuru had phone conversations with Uganda’s Yoweri Museveni and Rwanda’s Paul Kagame on the possibility of the two countries extending the railway all the way to Kigali.

As a result, the three countries will send a joint team to Beijing to bid for more funding for SGR to reach Malaba and go on to Kampala and then Kigali.

After the launch of the railway line from Mombasa to Nairobi at the end of May, the Chinese government will provide special security while building the capacity of Kenyans who will take over.
At the moment there are different groups of young Kenyans being trained in various institutions in China on running the railway and its various components.




Uhuru secures $3.59 billion more from China to extend SGR to Kisumu
Seems the future of East Africa is awesome with this investment being done in all the countries excluding Burundi whom I rarely hear thier issues here...
 
And I told you our trains are electrified and highly technological sophisticated, they will never fit in Tanzania because we don't have their vacancies we don't have some earlier stone age trains in which they are experts on them.
Were is this train you say?

What is this electricity??

What are this jobs u dont have vacancies for??

Last time i checked Kenya gave 2000 tanzanian doctors jobs by morning 400 were in Nairobi Afya house trying to enlist? Ama namna gani??

But first show me this Rail you say
 
I think you know exactly what type of locomotives am talking about, please find the attachment of our new born locomotives actually they are in the making, sophisticated of it's own unique more over it is fully financed by our own.
wl3rz9.jpg

In the making, sooner on the rails.
delusional crazy mad man:(
 
"Sisi WaTZ tuna pesa yetu wenyewe... ya kujengea reli."

Lets analyse this.

During the year 2016/17 in the budget GOT (See budget summary here) set aside $500M or TZS 1 Trn Central Line SGR. This was part of development budget which totaled TZS 11.8Trn. However the government only projected to raise TZS 18.4 Trn from its own internal Tax sources. The rest of the budget (a total of TZS 11.1 Trn or 37% of total budget) was to come from grants, concessional loans, domestic and foreign borrowing. Remember that these budgets are usually projections and most of the time are never achieved. (See Example here).

Furthermore, unless the government will cut back on teachers/physicians salaries, whosoever tells you that "sisi tunajenga reli bila mkopo" is conveniently lying because the money to finance that railway is coming from an outside source and will be re-paid eventually by Tanzanian taxpayers.

As always its wiser to "follow the money" but Ignorance is bliss though.
 
sisi watz tuna pesa yetu wenyewe.. ya kujengea reli
Acha uongo ,pesa hio iko wapi. Watanzania tuache ushabiki wa kipuuzi kujisifia tusivyonanyo.

Mpango ni kujenga zaidi ya 2000km wewe unashangilia pesa zilizopo za kujenga 200km ,hiyo reli itakamilika mwaka gani ?
 
Nilisema juzi kuwa hizi ni hadithi za uchaguzi and many people in here criticized me; however, the truth has a way of revealing itself. The government of Uganda is now contemplating on ditching Kenya's SGR in order to join forces with Tanzania. The major constraint being Kenya wants their SGR to end at Kisumu instead of Malaba which is at the border point. Consequently, Uganda are looking for other alternatives. They think the only way they can a secure a loan, for Malaba to Kampala's SGR, is if investors will be assured that Kenya's SGR will reach the border of these two countries. President Uhuru has been through this route before and understand very well that Mr. Museveni is a man of his words! He neither bluffs nor minces words. President Uhuru has to find a way to address Ugandan's concerns otherwise Kenya's SGR will turn out to be a white elephant. Anyway, the ball is in Uhuru's court, let's wait and see how he will react to Uganda's economic threat...

Source: http://www.theeastafrican.co.ke/bus...route-Tanzania/2560-3935306-phdp9p/index.html
 
Tatizo la Kenya ni jiographia,hata wajenge nini,kuwafikia Rwanda na congo bado itakuwa ni ghali kuliko wakipitia Tanzania.
Kenya wanawekeza kwa ajili ya southa sudan tu ambayo ni biashara kichaa:D:D
 
Nilisema juzi kuwa hizi ni hadithi za uchaguzi and many people in here criticized me; however, the truth has a way of revealing itself. The government of Uganda is now contemplating on ditching Kenya's SGR in order to join forces with Tanzania. The major constraint being Kenya wants their SGR to end at Kisumu instead of Malaba which is at the border point. Consequently, Uganda are looking for other alternatives. They think the only way they can a secure a loan, for Malaba to Kampala's SGR, is if investors will be assured that Kenya's SGR will reach the border of these two countries. President Uhuru has been through this route before and understand very well that Mr. Museveni is a man of his words! He neither bluffs nor minces words. President Uhuru has to find a way to address Ugandan's concerns otherwise Kenya's SGR will turn out to be a white elephant. Anyway, the ball is in Uhuru's court, let's wait and see how he will react to Uganda's economic threat...

Source: Uganda may join Dar as Kenya weighs options of extending SGR to Malaba

The issue seems to be more about Uganda's in-ability to raise funding for their leg of the SGR. Last two paraghraphs from the article...

"Last year, Kampala was forced to revise the completion date of the SGR from March 2018 to 2020, and that when does not seem feasible now. In February, the Uganda SGR co-ordinator, Kasingye Kyamugambi, announced that China Exim Bank had “in principle” agreed to advance Uganda $2.3 billion to build the 293km line to Kampala. Its entire SGR project is estimated to cost $12.8 billion.

Uganda’s ability to repay its debts has become an issue after the World Bank in September last year suspended new lending to the country because of “outstanding performance issues, including delays in project implementation."
 
Tatizo la Kenya ni jiographia,hata wajenge nini,kuwafikia Rwanda na congo bado itakuwa ni ghali kuliko wakipitia Tanzania.
Kenya wanawekeza kwa ajili ya southa sudan tu ambayo ni biashara kichaa:D:D
Hhahaha, wewe ni kama huna habari kuwa Rwanda na Congo(mashariki) wamekuwa wakiitumia bandari ya Mombasa toka zamani.
 
The issue seems to be more about Uganda's in-ability to raise funding for their leg of the SGR. Last two paraghraphs from the article...

"Last year, Kampala was forced to revise the completion date of the SGR from March 2018 to 2020, and that when does not seem feasible now. In February, the Uganda SGR co-ordinator, Kasingye Kyamugambi, announced that China Exim Bank had “in principle” agreed to advance Uganda $2.3 billion to build the 293km line to Kampala. Its entire SGR project is estimated to cost $12.8 billion.

Uganda’s ability to repay its debts has become an issue after the World Bank in September last year suspended new lending to the country because of “outstanding performance issues, including delays in project implementation."

You are missing the point! Uganda encounters difficulties in securing a loan because many investors want to be assured the project they will financing will be viable. In other words, they want to be assured that there will be a linkage between Kenya and Uganda's SGR. Therefore, Kenya's SGR ought to end at Malaba instead of Kisumu. It is important to remember that Uganda is the gateway to Rwanda, Burundi and Congo. Frankly speaking, Uganda is holding all the cards. Uhuru doesn't have a choice but to dance to Museveni's tune.
 
You are missing the point! Uganda encounters difficulties in securing a loan because many investors want to be assured the project they will financing will be viable. In other words, they want to be assured that there will be a linkage between Kenya and Uganda's SGR. Therefore, Kenya's SGR ought to end at Malaba instead of Kisumu. It is important to remember that Uganda is the gateway to Rwanda, Burundi and Congo. Frankly speaking, Uganda is holding all the cards. Uhuru doesn't have a choice but to dance to Museveni's tune.
Actually its the opposite. M7 dancing to UK's tune. Tukisema kisumu, bass M7 itabidi ku-abandon his dream of SGR. Also Kenya can't trust his word. And you know trust is like virginity
 
Nilisema juzi kuwa hizi ni hadithi za uchaguzi and many people in here criticized me; however, the truth has a way of revealing itself. The government of Uganda is now contemplating on ditching Kenya's SGR in order to join forces with Tanzania. The major constraint being Kenya wants their SGR to end at Kisumu instead of Malaba which is at the border point. Consequently, Uganda are looking for other alternatives. They think the only way they can a secure a loan, for Malaba to Kampala's SGR, is if investors will be assured that Kenya's SGR will reach the border of these two countries. President Uhuru has been through this route before and understand very well that Mr. Museveni is a man of his words! He neither bluffs nor minces words. President Uhuru has to find a way to address Ugandan's concerns otherwise Kenya's SGR will turn out to be a white elephant. Anyway, the ball is in Uhuru's court, let's wait and see how he will react to Uganda's economic threat...

Source: Uganda may join Dar as Kenya weighs options of extending SGR to Malaba
Eti hadithi za Uchaguzi? Reli imeanza jengwa tokea 2013!!! Tayari kulikua na mpango wazi..


Enda ukasome details za analysis by the Ugandan ministry between the two routes, Reli yenu inafika itachukua 72hours! Kufikisha mzigo Kampala kupitoa meli ziwa victoria, wakati tukifikisha reli yetu Malaga itachukua 11hours kufika Kampala....
Sgr ya kenya can never be white elephant, Kumbuka pia sisi tunajenga port mpya Kisumu, Kashivyo hata isipofika Malaba bado tutakua na uwezo wa kufikisha mizigo Uganda kwa kasi kuliko SGR ya kupitia Tz jwasababu bado kisumu ni karibu na Kampala ukipitia na ziwa victoria....
Hio reli yenu ndo ni white elephant, Kumbuka Uganda tayari inapitisha asilimia 90 ya mizigo yake kupitia Kenya, Tz can not compete with Kenya kwa mambo ya port business! Mtapasua msamba bure! Alafu isitoshe bado hatujaona hata picha moja ya progress ya phase 1 ya 200km Dar-Moro wakati sisi phase 1 ishanalizwa, phase 2 mapicha yameshatoka, tumepata pesa za phase 3a na b, wakati nyinyi huko Tz mnangoja reli ya 'peza zenu'... Tanesco ambaye ndo anatarajiwa kuuza umeme wa reli mwenyewe ndo huyo anaomba loan Ya $200m ya WB jwasababu imeshindwa kulipa madeni.... Wanahabari wenu wamelala sana nyinyi wabongo, ingekua kenya kungekua na magazeti kadhaa yanaongelea mambo kama hayo..
 
Inaonesha wewe hufuatilii huu mradi hata kidogo, unatengeneza mambo kichwani mwako halafu unaanza kuyatolea maelezo mambo hayo ambayo sio sahihi. Kama hauna habari kamili ni bora kunyamaza kuliko kuokota vitu kwenye mitandao ya udaku na kuja kutapika humu.

Kitu cha kwanza jifunze kuheshimu binadamu wenzako, hata kama maoni yao na yako yanakizana kwani tatizo liko wapi, you can always agree to disagree without offending any one - unawezaje kusema mimi ni mpumbavu, eti mimi ni mpinga maendeleo!!! Tell you what? You should have your head examined – don’t you think? Sikutaka kusema mengi lakini kwa faida ya Watanzania wenzangu ambao no broadminded kuna mambo nataka niwaeleze kidogo - sina shaka ntaeleweka.

Bwana Kilam ni hivi: FYI 'am a technical person well versed katika masuala yote ya reli, usitake kubwatukia watu ambao hujui vizuri background zao - hilo la kwanza, la pili hakuna Mtanzania yeyote mwenye akili timamu anaweza kutilia shaka uwezo mkubwa wa Dk.Magufuli linapo kuja suala la kusimamia kikamirifu maendeleo ya Taifa letu, ndiyo maana tulimpigia kura ya ndiyo kwa wingi bila shuruti - lakini comments zako za ajabu ndiyo zimenifanya niwe na wasi wasi zaidi kwamba kama na wewe ni among ya watu wanao mpa ushauri JPJM basi 'God help US' I am not kidding!! Seriously, baada ya kupitia comments zako nimeguduwa kwamba as far as Railway Industry is concern everything sounds GREEK to you, ndiyo maana wakati mwingine baadhi ya Wakenya utucheka sana - you should've reserved your comment kuliko kutumia lugha kama za watu ambao hawaja enda shule - hata vitu technical unavyo jaribu kufafanua humu unaonekena wazi wazi uelewa wako ni borderline kabisa - sasa mapungufu yako hayo ndiyo yanakufanya ufokee watu ovyo na kutumia lugha za kishenzi zisizo za staha - no wonder Tanzania inaendelea ku-wallow in abject poverty kutokana na watu kama nyinyi wenye hulka za kijipendekeza kwa Viongozi hata ukiona kuna sehemu kakosea kidogo wewe unakaa kimya na kumsifia kinafki mradi mkono uende kinywani - sisi wengine hatujazaliwa hivyo, tunafuata/heshimu ethics za taaluma zetu na Uzalendo bila ya kuogopa mtu.

Mkuu narudia tena kukumbusha kwamba msifikiri kila mchangia mada ni mbumbumbu katika nyanja za ujenzi wa permanent way(reli,madaraja, tunnels) masuala ya rollingstock na Locomotives nk - wakati mwingine it pays kuwasikiliza Watanzania wenzenu ambao wana maoni tofauti, si hilo tu wamepitia vile vile kwenye proper training na handon experience kwenye masuala ya reli kutoka Mataifa mbali mbali Duniani - lakini mnapo jaribu kuwasingizia Watanzania wenzenu wanao jaribu kutoa maoni/ushauri tofauti eti niwapinga maendeleo hilo tu linadhilisha kuna tatizo down the line - si bure, kuhamaki bila mpangilio speaks volume about your persona - binadamu wanao jiamini utumia lugha za kistaarabu hawatukani watu by resorting to name calling. I suggest you keep your cool jaribu tena ku-revisit comments zangu, again nakukumbusha kwamba zipitie ukiwa level headed na siyo mihemuko hisiyo na tija, kumbuka Tunajenga nyumba moja huna haja ya kungobania fito, binafsi huwa na kawaida ya support sana efforts za JPJM jaribu kupitia michango yangu humu siku za nyuma, lakini nikiona kuna kitu ambacho in my opinion kinaonekana hakijakaa sawa by 100% ntakisema tu for the benefit ya Watanzania wote - huo ndio UZALENDO wa kweli, silazimishi wahusika kukubaliana na maoni yangu.
Sasa tuja kwenye point zako:
1. Lengo kuu ka mradi huu ni kubeba mizigo na sio abiria, kutokea Isaka reli itaelekea mpakani kwa Rwanda na Burundi kwa ajili ya usafirishaji wa mizigo yao kutoka bandari ya Dar es Salaam. Soma hapa chini kuhusu mradi wote kabla ya kuanza kukurupuka.
Background – Dar es Salaam-Isaka-Kigali/Keza-Musongati Railway Project
Mkuu URL link inayo include ramani ya ma consultants kutoka Canada does not telling us much kwa kile tunacho taka kukijua sisi, hakuna anaye kurupuka kuzungumzia masuala haya, wakati mwingine unapo washutumu members wenzako, wakikujia na maelezo yenye mashiko utashindwa pa kutokea - weka akiba ya maneno, siyo unajizungumzia tu like unguided missile, sina shaka nimeleweka take it or leave - up 2 you.

Binafsi kwanza napongeza sana Serikali ya Rwanda iliyokuwa imefanya kazi nzuri sana ya ku-shortlist potential Companies za kutujengea Reli ya kati, Kagame na Serikali yake ni watu makini sana awawezi kuchagua Kampuni ambayo haijakidhi vigezo, sina shaka kampuni ambayo ilikuwa listed kama ni numberone ndiyo inawazidi wengine kwa kila kitu, Kagame ni mtu makini sana - nani ambaye hajui umahili wake, ninacho taka kujua mimi kitu gani kilicho tufanya tukatae iliyo kuwa ni ya kampuni ya kwanza kwenye list baadae kabisa wahusika wanajenga sababu za kuwaengua Wachina na kuchukua namba nne - kuna nini hapa? - hata kama kulikuwa na tatizo ni tatizo gani ambalo halizungumziki, kama tulikuwa tunapewa mkopo na Wachina kwa nini hamtaki wao ndiyo wajenge reli mwanzo mpaka mwisho mbona daraja la Salander wanajenga Wakorea wanao tupatia mkopo, barabara za mkopo wa Japan wanajenga KONOIKE, facelift ya uwanja wa ndege za vita walikarabati hao hao Wachina waliotoa hela zao - mbona hakuna aliyekuwa analalamika - kwani Project ya reli ya kati ina tofauti gani na fedha za Projects nyingine tulizo wahi kupewa na Mataifa mengine - I am just curious.

Hata kama kampuni ya Kichina na Benki yao walitaka kufanya mambo ya ndiyo sivyo - hizo ni akili mbovu za individuals siyo kwamba walipewa baraka na Serikali ya Uchina kufanya udanganyifu, sisi tunacho taka ni kujengewa reli on favourable terms, ninacho shindwa kuelewa mimi:hivi kama kulikuwa na kutoelewana kati yetu na makampuni ya Kichina kwanini Viongozi wetu preferably Dk.Magufuli asifunge safari kwenda Uchina na kuonana hana kwa hana na Ti Xipig waka iron out matatizo, ujenzi ukaendelea bila mikwara, kama hilo lingeshindikana tungeweza kumbembeleza Dk.Kikwete akaonane na Rais wa Uchina akamweleza duku duku letu wakarekebisha mambo hakuna kinacho shindikana chini ya jua, watu hawajui tu - Dk.Kikwete anaheshimika/julikana sana kimataifa ndiyo maana upata mihariko mingi kwenda kuzungumza kwenye International FORA - binafsi sioni ubaya wowote akitumiwa na Taifa letu effectively/kwa faida yetu.

Kitu gani kinatufanya tushindwe kuiiga mifano mizuri/ujanja wa ma Rais Kenyatta, Rais wa Ethiopia, Nigeria, Pakistan na Djibuti wote waliwahi kwenda kufanya mazungumzo na Rais wa Uchina wanapokwama au mambo yasipo waendea vizuri - sijawahi kusikia Dunia inawacheka kwa kufanya hivyo, wao wanacho tafuta ni kutaka Mataifa yao yakasonge mbele - Kenya kwa mfano juzi juzi hapa Rais wao alikwenda Uchina kufanya mazungumzo na Ti Xiping kapewa mkopo fasta wa kumalizia ujenzi wa reli yao - come December reli yao itakuwa imefika Kisumu, tusitegemee Uganda, Rwanda na Burudi wataendelea kusubiri indefinetly ukamilikaji wa reli yetu ya kati,nyinyi mnafikiri kwa nini Kenya wanataka kuboresha Bandari ya Kisumu - jamaa hawa wanaona mbali sana.
2. Kuhusu umeme, treni zetu zitakuwa ni hybrid (zinatumia dizeli na umeme). Gharama ya reli yetu ni Usd 4.05m / km wakati ya Kenya ni maradufu ya hio na yao ni dizeli tu. Hakuna ubaya wa kuweka umeme maana kuna miradi mingi ya uzalishaji umeme inaendelea.
Mkuu ndio maana nilikuwa nakusisitizia kwamba unapo washutumu members wenzako jaribu kujitathimini kwanza kama kweli unajua vizuri unacho zungumza, chukulia mfano wa kwa kile unacho kiita trein – hivi unajua neno trein linamaanisha nini? Badala ya kuzungumzia locomotive wewe unasema trein!! Unachekesha kweli kweli nani kakwambia ukijaza Diesel kwenye locomotive ndiyo inakwenda kuzungusha wheel sets za locomotive – nani? FYI kuna type tatu za locomotives namely:


(i)Diesel Engines as a prime mover na transmission ya hydraulic ndiyo inazungusha magurudumu ambayo yamekanyaga reli, in short hizo zinajulikana kama Diesel Hydraulic Locomotives.

(ii)Diesel Engines prime moves ya Electric Generator- umeme unapitia kwenye rectifiers na kwenda kwenye DC electric tranction motors ambazo ziko embeded kwenye magurudumu ya locomotive – in short zinajulikana as Diesel Electric Locomotives.

(iii) Electric Locomotives hizo ni pure electric hakuna Diesel/Petrol engine wala generator ya umeme hisipokuwa mitambo ya kuboresha/badirisha umeme wa grid ili utumike kuzungusha DC electric traction motors ambazo zimekanyaga reli​

Locomotives zitakazo tumika kwenye reli ya kati ni Diesel Electric kama za wenzetu wa Kenya, haya mambo ya kujifanya eti tumewazidi kete Wakenya ni uongo mtupu na wao wakihamua loco zao ziwe hybrid wanafanya marekebisho on a fly - it is not a big deal ni kiansi cha kuweka an automatic/manual isolator – ukitaka kutumia umeme wa grid una-isolate section ya Diesel engine na Electric generator mambo mengine yabaki vile vile, ukitaka Engine na Generator zitumike tena ku-move locomotive una isolate umeme wa grid mambo yanajirudia - hakuna kitu cha ajabu hapo – actually binafsi naona hybrid system ni brilliant idea kutokana na umeme wa nchi zetu za Kiafrica kutokuwa reliable ni vyema locotives zikiwekewa failover system ya ku-switch automatically between umeme wa grid na umeme unao zalishwa na generator ambazo zipo ndani ya locomotives safari ikaendelea bila ya kusimama.

Ulivyo wa ajabu nimesoma sehemu unayo nishutumu eti nataka Tanzania hisizalishe umeme wa kutosha!! – una tatizo gain lakini? Umeme sawa, kinacho gomba katika Taifa letu na Mataifa mengine ya Dunia ya tatu ni tatizo la kupatikana umeme unao aminika/reliable na jinsi ya kuusambaza mimi ndicho nilikuwa na maanisha – unaweza kuwa na umeme wa kutosha tu, lakini kama bado una hicups kwenye generation, transmission/transportation na distribution unategemea miujiza gain mwisho wa siku, utakwama tu – ukitaka ufanikiwe ni lazima vitu vyote vitatu tajwa hapo juu vinapaswa ku-run in sync – nilikuwa naona wenzetu Ulaya/Marekani umeme unaendeshwa na taasisi tatu i.e Wazalishazi, wasafirishaji na Wasambazaji hapa kwetu kazi hiyo inafanywa na Kampuni moja (TANESCO) ndiyo maana mambo hayaendi sawa, kampuni ni kubwa mno si rahisi kufanya kazi kwa ufanisi, inapaswa kugawanywa sehemu tatu nilizo taja hapo juu.

Nimeona umegusia kwamba sisi tuko makini kuliko wenzetu wa Kenya linapokuja suala la gharama za ujenzi wa reli per Km!! Shutuma tu kila sehemu: Hivi unajua Physical Jiographia ya Kenya hikoje ukilinganisha na Tanzania, unajua reli ya Kenya ina cross Milima na Mabonde mangapi including Rift Valley fault, unajua ni cubic meters ngapi za udongo ulihamishwa/kujazwa sehemu korofi-halafu, walitoba/kukata Milima mingapi – hivi kwa akili zako unategemea gharama za ujenzi ziwe sawa na Tanzania ambayo reli ya kati inapitia kwenye sehemu tambalale tu i.e Dar-Kigoma, Dar-Mwanza save sehemu ya Salanda ambayo sidhani kama gradient yake inazidi 1.5% or thereabout - in short uwezi kulinganisha Kenya na Tanzania Kijografia hata wajenzi wa bomba la mafuta la kutoka Uganda walizungumzia utofauti huo, msiwe mnashutuma Mataifa ya wenzenu bila ya kujua vizuri nini kilisababisha gharama za ujenzi kuwa tofauti na sisi kama hiyo ni kweli - we don't have all facts hivyo hatupaswi kuwasemea.
3.Kuhusu kuwa na wakandarasi tofauti, reli zina viwango vinavyojulikana kwa kila mkandarasi na hamna shida mradi kufanywa na wakandarasi tofauti.
Tusiende mbali tupatie takwimu za miaka ishirini na tano iliyo pita zitakazo onyesha Mataifa ambayo yaliwahi kujenga reli moja in piece meal kwa kuwatumia makandrasi zaidi ya mmoja, kila kandrasi anakuja na reli na mataruma yake – wapi umewahi kuona maajabu hayo – wapi? Reli msichukulie kama ujenzi wa barabara – reli inapaswa kujengwa seamlessly, waulize wenzenu kutoka nchi zilizo endelea, wewe unafikiri kwa nini hawafanyi mambo ya mixed grill kwani wao wajinga, eti kwani tatizo liko wapi si wanafuata specs!!
Sababu ya kugawa mradi ni kuharakisha ujenzi wake.
Kwani Kenya imewachukua miaka mingapi kujenga reli kutoka Mombasa mpaka Nairobi – wamekamilisha ujenzi huo in a record time na reli yenyewe, madaraja, Railway Stations vyote vinaonekana ni ya kisasa kabisa - hivi sasa Kenya wapo kwenye Dunia nyingine linapokuja suala la usafiri wa reli, sioni kama workmanship ya hawa mnao wapigia debe kama wanaweza kuwapiku Reli ya Kichina ya Kenya – sioni ‘am sorry kulisema hilo, niliwahi kuona mi concrete poles za kusambaza umeme kwenye reli zilivyo jengwa kwenye reli ya huko Uturuki hayana mvuto hata kidogo, haya tuje kwenye ujenzi wa Railway Stations si zitakuwa na muonekano kama kama wa ma Godown ya Bharesa – siwasemi vibaya lakini mtakuja kuniambia mimi.
siku si nyingi RAHCO watatangaza wakandarasi wa vipande vilivyobakia.
Jamani, hivi nani walihusika kununua mabewa yenye walakini mkubwa kutoka India, je, locomotive kutoka India zilikuwa za mwaka gani? Mnakwenda Indonesia sijui Malyasia kuwaleta mafundi kufunga injini za Diesel kwenye Locomotive wakati wakijua wana ma Techinician, Artisians na ma Engineers wazalendo wenye ujuzi wa miaka mingi wenye uwezo wa kumount Engines kwenye superstructure ya Loco, lakini RAHCO wanawakwepa na kwenda kuwakimbilia watu wa kutoka Mashariki ya Mbali – akili gani hizi? Kama walikuwa na uzalendo wa kweli kwa nini hawakupendekeza kwa Serikali kununua Engine kutoka kampuni za General Electric, General Motors, Bombadier au M.T.U halafu kazi ya kuzifunga kwenye loco wakapewa wataalamu Wazalendo ku-minimize cost, hilo halifanyiki badala yake wana changamkia wageni, hilo ndilo tatizo kubwa la Viongozi wanao kabidhiwa dhamana yaku-run mashirika yetu ya UMMA - patriotism ni bidhaa adimu kabisa. Leo hii ndiyo watu kama hao wapewe dhamana ya kusimamia/tangaza tenda za kujenga reli? RAHCO wanapaswa kukabidhiwa reli iliyo kwisha kamilika na si vinginevyo - usimamizi wa ujenzi wa reli wapewe an Independent msimamizi siyo RAHCO. Kama tuko serious basi tufuate mfano wa usimamizi wa ujenzi wa daraja la Kigamboni.
Ikumbukwe kuwa hata reli ya kati ya sasa hivi ilijengwa na wakandarasi wa kutoka nchi tofauti na miaka tofauti lakini hamna shida yoyote.
Eti hamna shida!! Unaweza kutwambia mwaka huu peke yake reli na madaraja ya reli ya kati yamesombwa na mafuriko mara ngapi mpaka abaria na mizigo vikashindwa kusafirishwa, kuna wakati locomotive ilianguka baada ya mataruma kuachana!! Labda tuanzie hapao – wewe si unataka kuzuga wasomaji eti reli ikijengwa/karabatiwa na wakandrasi tofauti mambo yanakuwa bambam kabisa, je haya ndiyo unataka yakumbe Taifa letu hapo baadae – think again siyo unabwatukia watu ambao huwajui vizuri.
4. Ni upumbavu kufananisha mradi wetu na wa Kenya, Kenya wameumizwa na Wachina na reli yao ni ya hali ya chini mno kulinganisha na yetu. Kenya watatumia gharama nyingi zaidi kuweka umeme kuliko kama wangefanya mambo yote kwa pamoja. Fuatilia specifications za reli ya Kenya na Tanzania na gharama halafu uone jinsi JPM alivyo kichwa.
Nimekwambia ujaribu kutumia lugha ya staha, usifikiri na sisi hatuwezi kuretaliate nakuhakikisha tukifanya hivyo hapa hapatakalika; Mkuu labda nikuhoji kidogo, je, wewe ni Quality Assurance Manager wa ujenzi wa reli au? Mtanzania ambaye uwezi hata kutofautisha baina ya Locomotive na Train nani anaweza kuchukulia comments zako seriously – nani? Eti Wachina wanawajengea Wakenya reli ya hali ya chini - umejaa majivuno tu ya kijinga hata aibu huna, wewe ni mtu wa kuwabeza Wachina kweli? Sasa ni takribani miaka karibu hamsini tangu Wachina wajenge reli ya Tazara - lini uliwahi kusikia reli au madaraja ya TAZARA yamesombwa na maji, reli na mataruma yamekatika katokana na uzito wa mizigo – lini?

Train zinatoka South Africa mpaka Dar kwa kupitia reli ya Tazara zinaleta mizigo na watalii, wageni wengi kutoka Mataifa mbali mbali Duniani wanasifia ujenzi madhubuti wa reli ya Tazara si kwa reli tu bali madaraja, mahandaki, Station na nyumba za wafanya kazi – ukitaka kujua umahili wa Wachina katika ujenzi wa reli nenda kaangalie mahandaki ya Mrimba – Makambako ndiyo utajua ninacho zungumza hapa - wewe Mswahili wa born here here ndiyo unajitia ujuaji na kukashifu Mataifa ya watu wengine wakati wewe huna hata uwezo kumanufucture sindano au nyembe – eti Wachina wezi, linapo kuja suala la wizi na watu wasio na shukurani ni Watanzania wa type ya kwako ambao wanajifanya kusahau mchango mkubwa wa Wachina katika kuendeleza Taifa letu.

Kumbuka TAZARA tangu survey mpaka ujezi na kutukabidhi reli Wachina walitumia ma Trillion ya Tsh ya fedha zao wenyewe kama mkopo – au wewe hilo ulijui, mlivyo wa ajabu mnakuwa na ubavu wa kuisema vibaya Serikali ya Uchina na kumshauri vibaya JPJM kwa maslahi yenu binafsi, hicho ndicho kinawafanya mjenge hoja ya kuwakwepa Wachina, hata kama makampuni ya Wachina ya ujenzi wa reli yalikosea/ujanja kwa nini msimalize tofauti zenu kistaarabu, Wachina wakatujegea reli kwenye favourable terms–narudia ku insist tena kwamba siyo fresh baadhi ya Watanzania kuwasema sema Wachina kwamba ni wezi – kama ni suala la wizi, ufisadi na udhulumaji sisi ndiyo vinara, ndiyo maana hatuna nia thabiti ya kulipa mkopo wa Matillion ya Ujenzi wa TAZARA huu ni mwaka wa 42 unakatika bila ya kuwarudishia Wachina hata senti tano za mkopo wao.

Binafsi siwezi kushangaa kama Wachina walijaribu kutuwekea masharti magumu wa kutupatia mkopo wa ujenzi wa reli ya kati, wanajua wasipo iendesha wenyewe kwa muda Fulani basi mkopo wao hautaridishwa – ya TAZARA yatajirudia tena – who can blame the CHINESE - once bitten twice shy, je, hilo mlilifikiria kabla hamjawasema Wachina kwamba ni wezi na walaghai?
Jitahidi kufuatilia mambo kuliko kuishi kwa kufuatilia vyanzo visivyo rasmi vya wapinga maendeleo.
Cha kwanza sitaki dharau zako za kijinga - mimi ni mtu mwenye akili timamu na anaye jitambua – wewe huna Authority yoyote ya kunipa darasa kuhusu ni wapi nifatilie vyanzo rasmi vya kupata taarifa/habari reliable ambazo si za tabloid, wewe una exposure gani to talk about – tell me?

Nimalizie kwa kukumbusha kwamba ngonjera zako za kusingizia watu eti ni wapinga maendeleo, wapumbavu na hawana Uzalendo!! Sifa zote hizo unazo wabambikizia binadamu wenzako actually ni spitting image of your good self – sina shaka maelezo yangu marefu yatakufanya ujifunze kitu.
 
Back
Top Bottom