Chakochangu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 2,668
- 2,164
Acheni woga, huwezi kujua kina cha maji bila kutia mguu wako.
Mkuu vipi? Mbona umeivalia kibwaya hii issue! Acha Watanzani tufe na umasikini wetu. Hao wazungu wako wametupiga sana na mikataba ya Mangungu. Hatuna hamu nao.Symbion na ndugu zake wanaendelea kutupiga ,IPTL, AGREKO,GAS , MADINI.
Ngoja kwanza tuvute pumzi.