Kenya 'faster than America for mobile internet'

povu gani? unaweza kumzidi ubora mtengenezaji?
Tuliza. Hiyo sio repoti kutoka Kenya imesema hivyo.
Kama hiyo ripoti sio sahihi, basi waeleze walioiandika.

Ni kwanini mataifa mengine yasiweze kuwapiku wamerika kwa vitu walivyobuni hawa wenyewe?
 
Kenya 'faster than America for mobile internet', Focus on Africa - BBC World Service
Kenyans enjoy faster mobile internet speeds than American, Taiwanese, Irish and Swedish citizens, according to a new report by Akamai. Overall, the East African country ranks 14th of the 130 countries surveyed. Kenyan internet specialist Njeri Rionge explains to BBC Africa's David Amanor why this comes as no surprise to many in the sector.
Weka link maana ata gazeti la theeastafrican halijawai andika hiyo habari maana wenyewe ndo uandika kila la Kenya popote pale na kila siku lazima nilisome
 
Spidi ya internet bila kuleta mapinduzi au mabadiliko katika maisha ya Mkenya ni upuuzi kujigamba.

Nchi zilizoendelea wamefaidika na internet zaidi ktk sekta mbalimbali kuliko nchi zisizoendelea ambazo sana sana wanatumia katika ''twitter wars'' ku-google vitu visivyosaidia ktk kujinasua toka hali ya kuwa nchi yenye raia wengi masikini wa kutupwa, huduma za afya duni na elimu isiyokuwa na impact katika nchi husika.
 
876e671387ef337a32dfc80e35f61572.jpg
 
Iyo sentensi aina tofauti na World Bank wanasema uchumi wa Tanzania utakuwa na wakati mvua sehemu nyingi hazijanyesa vizuri na madini yanaibiwa sana
 
Guys hivi AK47 was invented in Arab countries!?..:) :) :):) :) :)
os i see/believe they use it wisely compared to any place else!:D.
 
Sindio .....Russia Ina Nuclear war heads 17,000
Marekani wana 9000

Mmarekani ndie alitengeneza Nuclear ya kwanza


Mnafikirianga nkama ma shule zenu hazifanyi vyema...

Internet speed haimaanishi umemshinda mtengenezaji inamaanisha tumeweka infrastructure yetu vyema ku allow Fast internet

South Korea Ina 27mbps
Kenya ina 17mbps
USA in 14
.
.
South Korea in 1969 was worse than Kenya or USA combined

Sai South Korea Developed

Siku ile Hyo Slave mentality ya Kuona Mzungu ni mkubwa wako ikikutoka utaenda mbali...

Mnafikiria Mwafrika kusonga ni Propaganda ndio maana Tanzania imelala kuuwa albino
Vitu vingi uongo,Alaf albino issue unavyoipenda as if it's we msafi sana,pang'ang'a tu
 
Back
Top Bottom