MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,094
- 7,225
Kumbe majirani bhana wana enjoy mchezo mzima,hapo mimi akili hiyo haipo,kumbe nao wamechoshwa sasa na kelele,mara nikasikia kelele kwa nje na mimi ikabidk niache mchzo hili kelele zikate nisikie nje kuna nini.
Basi majirani huko wamefura kwa hasira na maneno ya kejeli hatari si wanaume wala wanawake mfano wa kelele,(unajifanya unaweza mchezo,kwan ww ndio kidume peke yako humu ndani mbona wengine hatusikii au unabaka?)
Mdada wa pili (au wengine wana vibamia ww peke yako ndio una muhogo ikisindikizwa na vicheko vya umbea.
Hapa sina hamu pozi lote limeisha.
hapo lazima kimojawapo kiwe jibu sahihi la kilichokukuta
maana wadada wamefanya upembuzi yakinifu tayari bila
ya kuacha chembe ya wasi wasi.