Adrian Stepp
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 2,764
- 2,589
Ila Frankly, nahisi kuna ka "Amani " flani hivi...hatusimwangwi, hatusakamwi, hakuna anayevimba mashavu kwamba yeye ndiye mtoto pendwa pekee!, kuna fursa zimeanza kutokea (Yes zipo)..Yani hata kama huna mkwanja kivile lakini una uhakika..Big Up to our Mothers bhana..changamoto zipo tu kwa tuliolelewa na single mothers tunaelewa hasa Mama akiwa 'mtumishi' ..kamwe hawezi sahau familia yake!