LabdView attachment 519753Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ally Keissy amependekea kuwapo na sheria ya kuwapima wabunge matumizi ya dawa za kulevya ili kuepukana na ukorofi unaojitokeza bungeni mara kwa mara.
Mbunge wa Nkasi Kaskazini Ally Keissy
Keissy amesema hayo leo bungeni mjini Dodoma na kusisitiza kuwa yeye atakuwa mstari wa mble kwenye upimaji na endapo itatokea mbunge yoyote yule atakayebisha kupimwa kipimo hicho basi apimwe kwa nguvu na afukuzwe ubunge.
"Tutengeneze sheria sisi sote hapa tupimwe, inawezekana kuna watu wanatumia madawa ya kulevya humu, tena mimi nitakuwa wa kwanza, tupimwe kuondoa tatizo kwenye bunge letu hili la ukorofi na atakayekataa apimwe kwa nguvu na afukuzwe ubunge haiwezekani kurudia makosa mtu mmoja kila siku anasemwa anarudia yale yale" - alisema Keissy.
Aidha, Mbunge huyo aliendelea kwa kusema kuwa "Adhabu ndogo hii lazima ziwe kali wasipate chochote, wasionekane bungeni muda wa miezi sita au saba ndiyo watashika ni dhamu katika bunge hili. Haiwezekani tunaonekana kama tupo Manzese, wabunge wa mjini wamezoea kwenye vijiwe sisi wabunge wa bara hatutaki mchezo mchezo namna hii ya kutukana. Spika kwanza anawazidi umri pamoja na cheo" aliongezea Keissy.
Chanzo: EATV
Mzee wa fito. Alipata ubunge kwa matumizi bainifu ya jazba.Wapime na magonjwa, kuna magonjwa yanakimbilia kichwani na kumfanya mtu kuwa na jazba sana.
Huyu Kessy anatakiwa kuwa wa kwanza kupimwa maana anaongoza kwa kuchangia upupu humo bungeni. Apimwe kama huwa anapuliza kabla ya kuingia bungeni au kama anatumia mojo .View attachment 519753Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM), Ally Keissy amependekea kuwapo na sheria ya kuwapima wabunge matumizi ya dawa za kulevya ili kuepukana na ukorofi unaojitokeza bungeni mara kwa mara.
Mbunge wa Nkasi Kaskazini Ally Keissy
Keissy amesema hayo leo bungeni mjini Dodoma na kusisitiza kuwa yeye atakuwa mstari wa mble kwenye upimaji na endapo itatokea mbunge yoyote yule atakayebisha kupimwa kipimo hicho basi apimwe kwa nguvu na afukuzwe ubunge.
"Tutengeneze sheria sisi sote hapa tupimwe, inawezekana kuna watu wanatumia madawa ya kulevya humu, tena mimi nitakuwa wa kwanza, tupimwe kuondoa tatizo kwenye bunge letu hili la ukorofi na atakayekataa apimwe kwa nguvu na afukuzwe ubunge haiwezekani kurudia makosa mtu mmoja kila siku anasemwa anarudia yale yale" - alisema Keissy.
Aidha, Mbunge huyo aliendelea kwa kusema kuwa "Adhabu ndogo hii lazima ziwe kali wasipate chochote, wasionekane bungeni muda wa miezi sita au saba ndiyo watashika ni dhamu katika bunge hili. Haiwezekani tunaonekana kama tupo Manzese, wabunge wa mjini wamezoea kwenye vijiwe sisi wabunge wa bara hatutaki mchezo mchezo namna hii ya kutukana. Spika kwanza anawazidi umri pamoja na cheo" aliongezea Keissy.
Chanzo: EATV
Yeye alifeli darasa la Saba na sasa hivi ni Mheshimiwa Mbunge. Wewe ulifaulu darasa Saba sasa hivi unauza madafu Nkasi. Ama kweli maisha hayana formula.Huyu jamaa namfahamu nirsoma nae ni classmate wangu alifeli darasa la 7
Nkasi na Kongwa ni sawasawa.....Huko Nkasi ina maana hakuna watu wenye akili timamu?