Nomadix
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 4,318
- 11,874
Habari wakuu
Kuna biashara ukizifanya lazima akili kidogo icheze, uwe kama dish limeyumba hivi!
Biashara gani ulishawahi kuifanya ukahisi kabisa kichwa kinawaka moto! Sio kwamba unamwa ila tu kwa uzito,ugumu na changamoto za biashara yenyewe.
Hii haikuwa biashara rasmi ila nilipomaliza Form four enzi za Covid 19 niliwahi kutembeza tangawizi mitaa ya Liberty, Makoroboi, Soko kuu, na Dampo (Mwanza) nachukua tangawizi asubuhi kwa walanguzi wa magunia.
Nachukua kwenye mfuko mdogo napunguza natunza zingine sehemu, zingine napanga kwenye ungo, nikimaliza nazirudia zilizobaki mpaka ziishe, ilikuwa noma sana make wauzaji tu wengi hapo nina Tangawizi za elfu 10 au 20 niuze ziishe.
Nikimaliza jioni naubikia kwa rafiki yangu, tunaenda kwa mama mmoja hivi (jina nalihifadhi), anatupa deli na chupa za chai tunatembeza chai na maandazi saa nne hivi tunakuwa nimemaliza, siku zingine mpaka saa5 .
Nilijifunza mambo mengi ila kichwa kilikuwa kinawaka moto sometime kwa kauli za wateja na msoto wa town jua kali,kuchoka, na mahesabu kuvurugika.
Itaendelea kuhusu biashara zingine...
Heshima mbele,
Wenu Nomadix.