ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
21,338
50,596
1.sekta ya Madini - ukikutana na mwekezaji wa Madini huko machimboni wanakuwaga na wasiwas muda wote sijui wa kuibiwa yaani rahisi sana kuchanganyikiwa ukiwa sekta hio

2.sekta ya ufugaji - hawa wachunga ng'ombe wanakuwa na akili zinazowaza ng'ombe tu muda wote.
 
HAKUNA KAZI NYEPESI KILA KITU KINA UGUMU WAKE LAKINI UKIWEKEZA MUDA WAKO WA KUTOSHA KATIKA HIYO KAZI BASI NI DHAHIRI UTAKUWA NA UTULIVU.
USIKARIRI MAISHA, DUNIA INABADILIKA NA MIENENDO YAKE.

#ROCA FELLA
 
Ila kazi yako inaonekana Ina utulivu.

Mda wote uko kuburudika tu. Hahahah kiding
 
Back
Top Bottom