nkulikwa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2015
- 721
- 813
Kama walipiga kelele juu ya ufisadi Na WAla hakusikilizwa Na ccm wakati huo! Huoni ni dhambi kubwa kuwafanya wasipige kelele? Unadhani ni vema serikali kuminya uhuru WA bunge leo, huoni kufanya hivyo ni mbaya kuliko kuunga mkono Hoja unayoiunga mkono? Lakini pia unadhani Hoja ya lowasa hakuisha Na uchaguzi Na Je Kama ni fisadi kwanini hajaenda mahakamani wakati huu Kama wengine? Unadhani ccm wanapenda kutokutawala?