- Thread starter
- #21
Mkuu, hawa akina MPK bado wanaishi gizani. Wanadhani Magufuli ana roho mbaya kiasi kwamba hawezi kumpongeza anayefanya vema
Issue hapa siyo kupongeza, kiutawala siyo sahihi kumwambia mtu unaenda kumpandisha mtu cheo au kumshusha. Inaweza ikamfanya kuharibu kazi ama kwa kuonyesha anafaa zaidi au akakata tamaa