Kauli ya kuwa nyuma ya kila mwanaume aliyefanikiwa kuna mwanamke shupavu ni uongo

Iliwahi kuwa hivyo ila sasa imebaki historia na labda tuseme kibao kimegeuka.

Ukiona kidume kilichokuwa kina mafanikio kimeporomoka ujue nyuma yake kuna mwanamke baradhuli mwenye roho ya kishetani.
 
Wanawake huwa wanachangia kwa kiasi fulani na ni baadhi sio wote!!!

Siku hizi wanataka wakukute tayari ushafanikiwa
 
Sio kila msemo lazima ushabihiane na current situation ama 100% na ukweli

Ukweli utabaki vile vile mbele ya mwanaume aliyefanikiwa kuna mwanamke nyuma yake kwasababu japo kuna wanawake ambao huwa wanachuna ila bado wapo wanawake wapambanaji pia
Wewe upo kundi gani? Naomba kujua!
 
kwa wengine statement hii inaapply lakini kwa wengine haiapply ingekuwa inaapply kwa kila mwanaume basi wale wasio na wanawakewangekuwa hawana mafanikio
 
Mimi naona hii ina ukweli kabisa..... kwasababu hakuna mwanamke anayependa mawanaume ambaye hajafanikiwa.
 
Wanaume maskin wanakupenda mda wakiwa hawana hela ila wakipata visent wanaanza kuchepuka"maskin akipata matako hulia bwata"...ndo mana wadad wa siku izi tunaona bora tuingie sehem kuna kila kitu...
 
Back
Top Bottom