Kauli mbaya mbaya uliyowahi kuambiwa na mpenzi wako au ex wako

Baada ya kumgombeza alienda wapi kwa muda mfupi tu niliotoka nyumbani kageuka mbogo na kusema, "nimetomb** sasa unasemaje tena hadi mkund*ni"
Nilinyamaza kimya baada ya kuinuka kilichotokea hata sahau hata familia yake haitasahua.
Duh nazani aliipata ya moto band
 
HII ILINIUMIZA NIKIWA KWENYE MAANDALIZI YA HARUSI NIKAAMBIWA UKIJITAMBUA UTAHAMA. NILIKUA NAISHI KWA KAKANGU NILIBAKIZA KAMA WIKI TATU NIANZE KUJITEGEMEA. NIKIWA KWENYE MAANDALIZI YA HARUSI NA KUHAMA NIKAMWELEZEA MANYANYASO NINAYOYAPATA KWA SHEMEJIANGU NIKITEGEMEA KUFARIJIWA NIKAAMBIWA HUJITAMBUI UKIJITAMBUA UTAHAMA. NILIUMIA SANA KWA KWELI NA SITAKUJA KUSAHAU.
huyo hakukosea, kama mpaka unakaribia kuoa bado upo kwa kaka yako lazima ulikuwa hujitambui
 
Baada ya kumgombeza alienda wapi kwa muda mfupi tu niliotoka nyumbani kageuka mbogo na kusema, "nimetomb** sasa unasemaje tena hadi mkund*ni"
Nilinyamaza kimya baada ya kuinuka kilichotokea hata sahau hata familia yake haitasahua.
natumain mkuu ulimpa kisago had haja kubwa ikatoka. kwel siwez kuambiwa huo upuuzi. meno ningeyavunja. et had mkndn
 
Kapicha ili ukasaminishe
Kapicha ili ukasaminishe
images-27.jpeg

swissme
 
Back
Top Bottom