Katika majukumu 2018-2022 Nchi za Urusi, Armenia,Vietnam,Thailand na Singapore, nilidakwa na Binti Mnyaru kimahusiano nikagundua kagame Noma Hatari

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
16,266
33,880
Asalaaaaamu, Britanicca hapa!
Matumaini yangu ni wazima !
Kuna ka story ambako kanaweza kuwa na episodes kadhaa Ila ni Kama ka drama fulan ka ukweli kaliko changika na ujasusi ndani yake!
Kagame mnyoshee mikono!

Naokumbuka vema ilikuwa siku ya Alhamisi tarehe 8 Mwaka 2018 nikapokea simu toka juu huko Tanzania kwamba kuna kazi fulan lazima itimizwe
Laos, Vietnam , Nepal, Armenia, Urusi, Thailand na Singapore !
Siku hiyo ilikuwa na ubaridi sana sana yan !
Nikauliza sababu nini ya Kwenda huko? Kwa sababu za ki diplomasia sitaweka hapa sababu zenyewe! Na pia Nitatumia akili kubwa mno kuweka mambo hapa najua forum hii wanapitia watu wengi! Na tunafanya mengi nje ya mitandao tunaendelea kuyapenda maisha!

Baada ya kuambiwa fanya BHYOTKOTJP ki majukumu na utalipwa ****** nikaamua kukubali Kwakuwa nilikuwa hapa vladvostok niliamua kulianzisha Huku Huku,

Nilianzia armenia! Huku tulikuwa na watumish wa jeshi chini ya Uangalizi wa Jamaa **** ambaye alikuwa anawasiliana moja kwa moja na serikali zeruzeru kwa mkataba maalumu

Kwa Armenia sitaeleza sana story yake tulivyokoswa koswa na chechen ni siku nyingine

Nikaenda Nepal chini ya Program ya Umoja wa mataifa maana hii nchi imekuwa kwenye machafuko huko nyuma na UN wana program maalumu ya kuendeleza makazi humo na hasa Pale Kathmandul Thamel ambako walikumbwa na Tetemeko kubwa Mwaka 2015, nilikaa hapo ninakaenda himalaya na Everest baadae nikawa phokara na hapo sitaweka sana maneno Ila hapa kwenye mission zetu tulikuwa na mashushushu wa kike toka India hapo hatujajua sana, (Aisee wanawake wa India ni warembo mnoo, Kidogo ya ngoswe yanikute, itakuwa story ya siku nyingine nisipotee kwenye Ramani)

Niende moja kwa moja Vietnam Hanoi huko ndo nikawa sehemu moja usiku Napata kinywaji kumbe tunao fanya nao program wako wengi na kuna hata wana wa kagame wawili mademu visuuu sana! Nikaona mdada mmoja anaitwa TENIA, nikamfuata alikuwa anahesabu Pesa kwa ajili ya kulipa bill , nikawaambia yeye na marafiki zake kwamba msilipe Kwani bill ni sh ngapi wakasema ni VIETNAM DONG 4,000,000 yaan Kama 340,000 Tzsh hivi nikataka kulipa huyo mnyarwanda akasema hapa Tina hela yetu Sisi kwanini utulipie, nikakomaa kwamba mkilipa yenu na yangu mnalipa au nikilipa yangu lazima nilipe yenu hapo! Tukazozana weee baadae nikaruhusiwa kuilipa, tukahama kiwanja tukaendelea kula chupa monde! Basi nikawa nakaa kimachale sana maana hata Kwenda bar najiiba Lakin nao kumbe wanajiiba sana Kwenda hawaruhusiwi,
Siku hiyo tukapeana contact Ila lengo langu lilikuwa huyu mnyaru!

Nimampa appointment tukutane! Akanipa masharti ambayo yalinishangaza Kidogo kupitia codes kadhaa nikajua hawa NI wenyewe kabisa, nikajiandaa vema sana hapa naongelea ya Mwaka 2020 nikaenda alipo, tukakutana ILA masharti simu zizimwe na pia niende mwenyewe! Nikaanza kuogopa kwanini,

Nikakubali masharti magumu Kwakuwa “when the small head of a man erect ! The big one becomes fool’’ kichwa Kidogo kikisimama kikubwa hakifanyi kazi kiufasaha,

Tukachukua taxi baada ya mazungumzo tunaelekea Kwangu hotelini sasa !
Mi si mjinga ujue, nika pretend naenda washroom na nikaacha makablasha fulan katika mazingira yakiguswa lazima nijue, sasa narudi nakuta ameshayagusa na kukagua! Nashachukua na picha hadi ya page ya pass ya kusafiria kumbe hajui mi mhaya “Kuzaliwa Bukoba ni Form six, Kuishi Urusi ni university Tosha”

Ikawa zamu yake Kwenda kuoga sasa simu yake ilikuwa inafungwa na passcode Lakin nishazijua ni 0230234 alipokuwa anaweka nikakaangalia mbili za Kwanza alafu baadae nikamalizia

Akaenda kuoga aiseeeeee aiseeee nikafungua simu aiseeee tuwe makin Narudi baadae kidogo kwa mwendelezo, wanyarwanda tuwaogope sana aiseeeeee

Britanicca
 
hii simulizi bila shaka unampa angalizo yule tycon aliye penzini na yule miss isijekuwa ndio anaingizwa tunduni kwa utamu wa huba na likikolea atoe code..kwani inasemwa huyu mwamba ndo supplier wa zana na vifaa wa nchi ya asali.!
 
Britanica yaani umeingia mitaa ya Thamel pake KTM, kule ni hatari sana. Panakaaga kama hapaeleweki lakini mambo ya huko Mungu tu awahurumie binadamu. Watu wa upinde kibao, ovyo sana Thamel.
 
Dunia hii mtu mrefu na jopo lake nae wanahofu kubwa na mateka land sasa sijui nani ni nani hata wewe mateka land ukienda kwa mtu mrefu hahahaaa utakubali utafatiliwa mpaka chooni bila kujua , wanachoamini kuwa kwao hakuna mateka land kumbe ndo wamejaa mpaka kwenye lile komwe lake🤣🤣
 
hii simulizi bila shaka unampa angalizo yule tycon aliye penzini na yule miss isijekuwa ndio anaingizwa tunduni kwa utamu wa huba na likikolea atoe code..kwani inasemwa huyu mwamba ndo supplier wa zana na vifaa wa nchi ya asali.!
20250111_233956.jpg
 
Back
Top Bottom