Katika maisha yangu Hawa watu sipendi kabisa niwe karibu nao

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Feb 26, 2024
696
1,025
Jf salaam.

Kwa namna Moja ama nyingine naweza kukukwaza ama ukaingia kwenye Moja ya watu Hawa nitakao wataja hapa. Mimi ni binadamu kama binadamu wengine napenda na kusitopenda pia.

Kwahiyo kama ukiangukia kwenye kundi la watu nisiowapenda elewa hivyo tu kuwa sikupendi hakuna mbadala wake.

List hii hapa

1: MNAFIKI
=>Sijawahi kuwa urafiki Wala ukaribu na mtu mnafiki hasa nikikujua au kukuhisi tu jua Moja Kwa Moja wewe umepoteza sifa za kuwa karibu yangu daima. Hata ukibadirika Imani hiyo kwangu haitakuwepo kamwe! Mnafiki ni mtu mbaya sana heri uishi na wachai 100 kuliko kuishi na mnafiki mmoja. Mnafiki huyu huyu anaweza kukuletea hao wachawi ama yeye mwenyew anaweza kuwa mchawi kwako mkubwa tu.

2: POLICE/WANAJESHI
=> Wewe kama unawapenda usinishawishi niwapende. Na Mimi nisikushawishi uwapende Baki hapo ulipo. Hawa police wetu swala la kukugeuka ni dk0. Kukubambikizia kesi ni swala la kawaida sana.

Police hata awe rafiki Yako namna vipi ukipata msala eti ujidai akusadie sahau sana sana atakuwa dumili kuwili atakula kwako na Kwa wenzake atapeleka taarifa kamili Toka kwako. Police niwaache kwanza nitawaeleza kwenye comment chini.

WANAJESHI: Ni wababe tu bila sababu yoyote hasa akiwa amevaa magwanda yake. Akutane na mbwa karibu mbwa anapigwa teke bila sababu. Sijui shida Yao hasa ni Nini hasa hata akiwa rafiki Yako au mdogo wako tu hatakupa heshima Yako unayostahili Bali atataka wewe ndo umpe heshima kisa tu ni mwanajeshi. Awe nyumbani Nje na kazi basi wewe ukae kinyonge tu kwakwe hii ndo Raha yake Sasa.

3: WANASIASA WALA RUSHWA
=>Hili kundi Lina combine Hadi chawa wote ndo chanzo ya matatizo yote tuliyo nayo hapa Tz. Mwanasiasa MLA rushwa kamwe siwezi kaa nae meza Moja. Maana najua ndo chanzo Cha Kila matatizo yanayoikumbka Nchi yetu hata akiwa ndg yangu.

Daima mtazamo wangu humuona ni mwenye dhambi nyingi sana. Chawa yoyote hata nisiye wahi muona Kwa macho kama Lucas Mwashambwa Siwezi mkubali popote pale

Hii inatokana na kusifia tu lakini kukemea hakemei hata akiona jambo hili halifai asipotetea basi atakaa kimya. Chawa yeyote namuona ni Moja ya watu waliokoswa akiri na sifa za kuwa binadamu Hadi wakawa MACHAWA.

4: JAMBAZI
=> Uwe ni ndg yangu wa damu iwapo tu nikagundua wewe ni -JAMBAZI undgu umeishia hapo hutakaa uje kwangu sitakaa nije kwako. Nitahudhuria siku ya msiba wako tu.

5: WAJASIRIAMALI DINI.
=> Ni wote unao wajua wewe akiwepo na shemeji yangu aliyemuoa dada mara kadhaa Huwa namwambia aache utapeli wake. Hadi Sasa hatuko sawa ameshanibatiza jina flani ni mtu wa Dunia

Sijui yeye ni mtu wawapi. Yote hayo ni Kwa sababu ya kuwatapeli watu Kwa kivuli Cha dini.

Pamoja na hayo pia napenda sana kuwa karibu na watu wa aina hii au makundi haya.

1: NURSE
=>Popote niwapo nikifika sehem kitu mhimu nitatafuta connection yoyote ya Dr au nurse sababu ni nyingi sana ila nitasema Moja tu. Naamini afya ndo Kila kitu kwangu. Hivyo napenda kuwa karibu sana na watu wa afya haijarishi naumwa au lah.

Hii inasabisha pale napokuwa na shida ya kitabibu niongee na Dr Moja Kwa Moja hata kabla sijenda kituo cha afya anipe abc. Pia matumizi sahihi ya dawa na dawa nzuri zaidi Kwa ugonjwa husika.

2: WAALIMU
=>Pamoja na kwamba humu mnawazondoa Kila sehemu binafsi nawakubali sana Hawa watu. WAALIMU sio wachoyo kukupa ushauri wa maana kabisa hasa wa mafanikio! Wao kinachowafanya wasipige hatua za kimaisha Hali duni ya maisha na mishahara isiyo faa Kwa maisha ya Sasa.

WAALIMU Ni wepesi sana wakungundua fursa lkn hawezi kufanya hiyo fursa Kwa sababu mtaji anakuwa Hana! Nimefika hapa Kwa sababu ya walimu kunipa ushauri nk. WAALIMU Hawa wanaupendo sana Kwa Watoto wetu pia ni waaminifu mno akikopa au ukimsadia kitu hawezi sahau lazima arudishe shukrani tu. Ukweli sijawahi jutia urafiki/ukaribu na WAALIMU.

3: MATEJA:
=> Unaweza shangaa kwanini nimewataja Hawa jamaa.

Jamaa Hawa wanakila Siri za kitaa ziwe za amani au uhalifu. Ukiwa nao karibu watakuambia Hadi wabaya wako. Na hata ukiibiwa vitu vyako ni rahisi sana kuvipata maana lazima tu waambiane huko nawewe utapewa taarifa za uhakika. Nina USHAHIDI wa hili.

Niishie hapa.
 
Chai
 
Tukirejelea kwenye maana ya neno mnafiki basi hata wewe hujipendi. mnafiki ni mtu:
✓muongo
✓anapoa ahidi hatimizi
✓anapoaminiwa hufanya hiana
Kwa mantiki hiyo hata hao ulowaorodhesha kuwa unawapenda nao ni wanafiki maana asie na hili ana lile, utamchukia Kila mtu cha muhimu fanya ibada, tafuta Hela na umuombe mungu akuepushe na Shari.
 
Back
Top Bottom