Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 8,853
- 19,567
ni kwel kwa mujibu wako sikupingiHivi unajua wanawake ni wengi kuliko wanaume duniani ? Na unatambua ambao hawajazaa kabisa ni wengi tu ?.
Hakuna single mother anakataa mwanaume soko ni gumu kwao . Hata ndoa za Mitala wanakubali