Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 681
- 1,034
😂Bora single motherKama utaambiwa uchague kati ya kifo na single mother, nadhani ndio utafikiria kumuoa .
😂😂😂vijana mnataka ndoa,ila single maza ndo wametapakaa sokoni😂😂 mbona mtajutaaaa na bado
Hahahahavijana mnataka ndoa,ila single maza ndo wametapakaa sokoni😂😂 mbona mtajutaaaa na bado
✅✅✅1. Mzazi mwenzie kama kafariki
2. Kama ana maadili mazuri na mtiifu
3. Kama nimefilisika wasio na watoto hawanitaki
4. Kama na mimi ninao watoto wa kwenye ndondo
5. Kama nimezeeka na yeye ni kigori
6. Kama nimezidiwa na hisia nimependa kupitiliza
😂Kama sio wakoKama mtoto ni wangu namuoa huyo mwanamke
Kwamba dunia inayo ke waliozalishwa tu?vijana mnataka ndoa,ila single maza ndo wametapakaa sokoni😂😂 mbona mtajutaaaa na bado
Uonevu uliokithiri dhidi ya wanawake, eti society ina ruhusu kuwa mwanaume anaewza kuwa na watoto nje kabla na wakati akiwa ktk ndoa😇 ndyo maana tunapigwa matukio, ndani ya ndoa, mama anakuzalia species za baba tofauti na huwezi jua🤣1. Mzazi mwenzie kama kafariki
2. Kama ana maadili mazuri na mtiifu
3. Kama nimefilisika wasio na watoto hawanitaki
4. Kama na mimi ninao watoto wa kwenye ndondo
5. Kama nimezeeka na yeye ni kigori
6. Kama nimezidiwa na hisia nimependa kupitiliza
Umeshashikwa akili eti!???😂Bora single mother