Pre GE2025 Katibu wa Wilaya CCM Kondoa: Muislam wa kweli huwezi kwenda kuswali bila kumtaja Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu,

Sitaki kuongeza maneno mengi maana naweza kuharibu uzi huu.

Ila huyu anaitwa Abdulrahim Hamidu ni Katibu Mkuu wa CCM (W) Kondoa.

Uchawa kwenye nchi yetu umefika kwenye viwango vya juu sana.

Yaani kama Taifa inabidi Harvard waje hapa Bongo, Maprofessor wao waje kufanya thesis kuhusu hili suala la Uchawa na waandikie dissertation.

Lissu ni mpango wa mungu
 
Uchawa upo kila nchi, sio, bongo tu, ukiangalia vituko vya wateuzi wa Trump, utashangaa, jinsi, wanavyomsifu kwa kila kitu, haya, ya ccm wala hayatushangazi, tunatawaliwa na vibaka, majizi, dawa ya Hawa ni kuwafunga mawe shingoni na kuwatosa kwenye maji!
 
Wakuu,

Sitaki kuongeza maneno mengi maana naweza kuharibu uzi huu.

Ila huyu anaitwa Abdulrahim Hamidu ni Katibu Mkuu wa CCM (W) Kondoa.

Uchawa kwenye nchi yetu umefika kwenye viwango vya juu sana.

Yaani kama Taifa inabidi Harvard waje hapa Bongo, Maprofessor wao waje kufanya thesis kuhusu hili suala la Uchawa na waandikie dissertation.

Kwamba mwenye utukufu wake halisi akae pembeni kwanza.
Sifa zikifikia hapo na zikaachwa hivyo matokeo yake siyo mazuri.
 
Huenda inaweza kueleweka vibaya katika matamshi yake hayo na kuitwa chawa

Lakini katika Uislam ni haki kumuombea na kumtaja Rais wa nchi katika sala au Dua

Ili mradi tu dua iwe ya kheri na kuwaombea wawe waadilifu na waongoze kwa haki

Lakini sio lazima pia bali tumefindishwa na hadith zipo Mtume alituusia wawe waadilifu
 
Back
Top Bottom